Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

Nina uhakika 100% ingekua ni kweli ulichokiandika,ungeshapata solution pale pale

ndani ya 5 sec baada ya kuona acc inasoma hiyo amount,si kwa life hili eti mtu aone noti

njiani imedondoka aite majirani aulize nani kadondosha hiii hela wapendwa ktk bwana,No braza Not for Tanzanian...
Hahahah
 
Nilijua ushatoa afu ndio uje kuomba ushauri uzipeleke wap🙄🙄 ukikuta hazipo tena? Unajiendesha kwa hasara bil 60 kwenye maisha yako
 
Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu je
1. Ni report bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
........

wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Swali la msingi kabla ya kuamua Ni je hio pesa Ni yako au sio yako?!
 
Unafanya kazi ofisi gani ya umma... Lazima utakuwa ni mfanyakazi wa serekali
Ni mwalimu wa shule ya awali huko Ushirombo! Angekuwa ofisi za halmashauri angekuwa kishatenda yake.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Usipoteze time. Kokotoa wote,chimbia mahala,hata home hivi. Badiri namba za simu kwa muda. Potelea kokote wakuite jambazi. Hiyo imeingia kwenye anga zako yenyewe. Usitumbue kama ulivyosema hapo juu. Anza kuiwekeza kwenye biashara tofauti za maana. Kama uko dar fungua maduka ya nguo mwenge 1. Fungua duka la spare kariakoo. Fuata ushauri wa wanaojua spare. Fungua hardware sehemu wanazojenga jenga,kwa sasa kama goba goba. Fuata mzigo dubai wa hivyo vitu vyote. Maana ya kufungua tofauti tofauti ili wakija kustuka wakitanch kimoja kingine kinapona
 
Hiyo hela as of now ni yangu, sababu imo ndani ya ACC yangu.
Siyo jambo jipya kutokea hivyo kwenye akaunti za watu. Kisheria hizo pesa siyo zako na unapaswa kuripoti benki (kwa meneja wa benki). Hata hivyo unaweza ukakaa kimya kana kwamba hujui kilichotokea na wala usichukue ili uone kitakachoendelea. Kuna watu kadhaa waliwahi kuingiziwa pesa nyingi zaidi ya hizo kwenye akaunti zao na watu wasiojulikana. Baada miezi kadhaa walisakwa na kukamatwa. Sasa jamaa yangu ambaye aliingiziwa milioni zaidi ya mia nane hukuambukizwa kwa kuwa alikwisharipoti kwa meneja na hakuzichukua hadi wakati huo.
 
Viroba viloshakatazwa kuuzwa Tz, hawa wanaouza kwa kuiba iba wanatuharibia vijana wetu
 
Back
Top Bottom