Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hebu nirushie laki moja niwathibitishie wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma vizuri salio isije kuwa 300 sh.unaona 300 milioniNaomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:
1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:

Sad Update: Transaction reversed 2:30pm.....
Ushauri umechelewa, wengine wameniogopesha.........basi ndiyo hivyo - Ngombe wa maskini.......
Kwenye account kulikuwa na hela zangu, kwa hiyo nilivyotoa ile 1M ule mzigo wao ulikuwapo intact... nilitoa ili nijue je account bado ipo accessible? je balance yangu ya zamani ipo sawa? je mzigo wao utaonekana kwenye balance yangu mpya? kweli ulionekana wote.Na ile M1 uliyotoa?
Jamaa walisakwa na mitutu ya bunduki kila kona. Yeye alipewa milioni kadhaa na Serikali Kwa kutojihusisha na kuitoa. Kwa ujumla fedha kama hizo zipo kwenye mfumo ambao ni vigumu kutokukamatwa. Labda walioiweka wawe wamefanya hivyo kwa kujiokoa halafu washindwe namna ya kuzifuatilia tena. Ndiyo maana nikatoa pia maoni kwamba anaweza akajipa muda mrefu wa kukaa kimya kama hakuna kilichotokea. Asiseme na asizitoe. Akizitoa na kuzitumia kuna uwezekano mkubwa zikamtokea puani. Pia itapasuka na atakosa furaha.alipewa kiasi gani Reward?au aliambulia Asante Tu
Benk hawawezi kukushukuru kwa kukupa hata laki moja. Wewe la msingi toa kama 50 kwanza afu usiombe risiti, usikilizie kama ni kimya baada ya muda toa 100, hivyo hivyo zimalize na uachane na hiyo account.hapana, mi nataka ushauri najua kuna watu yalishawakuta kama haya before, ku share uzoefu nao ni jambo jema!!
Mkuu ndo ningekua karibu yako makofi ya mwendokasi yangekuhusu.ila tunaomba screenshot hiyo text ya reversal ya muamala..maana naona km siamini aiseeSad Update: Transaction reversed 2:30pm.....
Ushauri umechelewa, wengine wameniogopesha.........basi ndiyo hivyo - Ngombe wa maskini.......
Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:
1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Ushauri wa kimaskin kabisaKama ni kweli na hukua usingizini kwamba unaota basi elewa kua hilo ni jambo la kawaida sana kutokea Bank. Kama usemavyo ni kweli basi ujue sio tu kwamba pesa hizo sio zako bali ni za moto. Utakapo zigusa kama ulivyosema mwenyewe kwa kuzitoa au kuzihamisha, kosa la UTAKATISHAJI linakuhusu
Ila ni suala ala muda mfupi tu kwenye ripoti za siku iwe Bank yako au huko zilipotoka watajua na watazirudisha zinapostahili. Ushauri wangu zitolee taarifa hapo tawini kwako au tawi la karibu la Bank yako ingawa naelewa Bank hawatakupa hata buku zaidi ya kukushukuru na kukuona muaminifu
Acha uoga mtoto mungu anaamua kukupa pesa unaleta ujinga kesho uanze kuomba mungu akupe maisha mazurYes, kuna mdau pia kanitonya hivyo kwamba ikifika mwisho wa siku leo wanaweza kuzitoa - ndiyo maana nataka nikazitoe kabla ya siku kuisha... Kuna mdau kasema kwamba nijilipue - kufa ni mbele kwa mbele ila nasita -sita roho inagoma.
Usisahau TZ yetu, ukiwa na hela kama hiyo...utaulizwa kwanza umeitoa wapi? Umeipataje pataje? M10 tu kuiDeposite Bank ama kuitoa maswali kibaoChukua milioni 200 KWANZA,weka kwenye fixed deposit ya miezi 6,alafu ndiyo uendelee kusikiliza yowe litatokea wapi.