Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Waafrika mnaenda ulaya, marekani mantaka mtambulike wawape hata haki za kugombea lakini hamtaki wao waje huku.
Vipi wao wakipiga marufuku na sisi kwenda china. Maana pia kuna wabongo wengi huko china pia? Inakadiriwa kuna hadi waafrika 500,000 wanaoishi kabisa china.
La msingi ni serikali kuwa makini nao wasilete wizi ila kama tuna faida nao ya kuwekeza na biashara waje tu.
 
Kaka ukifika hapo mjini Guangzhou kuna wabongo wengi balaa. Tena kuna dada zetu wamepeleka hadi huduma ya utelezi kule. Ndio mambo ya globalization ndugu
😀😀😀 eti huduma ya utelezi.. Anyway sisi kua wengi kwao haina madhara sababu ya uchumi wao na idadi yao, so hatuwezi kuwa'outnumbered ila wao ikiwa hivyo kwetu hakika ni kilio
 
Nakuunga mkono mkuu... shida ni hizi serikali zetu, zina uzalendo na utayari??? Au watu wenyewe ndio mifano ya Mbowe?
 
Mwenyekiti Mao enzi za Mwalimu aliwahi kutoa mgao wa vidosho kuja Tz ili kutengeneza kizazi kipya, lakini Nyerere akasanda, nadhani kutokana na hofu kama uliyonayo wewe.

Lakini kwa sasa na sera za 'soko holela', lolote linawezekana.
 
Argentina weusi waliuawa kisomi.
 
Watengenezewe sera.Waje kama wakw
 
Unaushahidi au ni maneno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…