Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi wa rasilimali zetu .........wameona waafrika wako kama zombie..........ndio maana wameanza kujazanaKuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.
Kuna mdau alipost humu.
Sio mixed race marriageArgentina weusi waliuawa kisomi.
Iwe like German like Hitler era. Kwa 100-200 yrs to come wachina watakuwa ndio wameishika nchi na vinono vyote vinaliwa na wao na sie tutakuwa manamba wao . Black mpe k tu ya kichina atafune mziki kwa mbali na ana drive basi anavimbaje anaona Maisha akayamaliza ,hawawazi kizazi Chao miaka 200-500 ijayo ,Waje sawa, lakini kwa wingi na spidi yao na madhaifu yetu watanzania/waafrika huoni kwamba tunakaribisha ukoloni mamboleo na mambozamani??
Acha uoga.Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
We uliona wachina laki 3 humo kwenye daladala? Au uliwaona wapi?Wakuu Salaam,

Juzi niliona CCTV kuna mchina anaongea akiwa huko kwao na anaongea kiswahili kwamba yeye ni msukuma na kwao ni Shinyanga kule Sumve, daaaa!.Kuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.
Kuna mdau alipost humu.
Umejibu vizuri sana, yaani level ya decision makers wetu kwenye developmental initiatives zitakazoingiza fedha nyingi za kigeni ni very limited. Kila mwaka wanafikilia ni namna gani watawaminya wananchi ambao ni masikini, wanashindwa kufikilia ni nini kifanyike hata ikibidi ku-subsidize developmental projects or initiatives ili tuzalishe na kuexport zaidi. Hakuna nchi duniani iliyoweza kuendelea kwa kutegemea importation peke yake, ideally importation inatoa fedha za kigeni ndani kwenda kwa nchi zinazowaletea bidhaa while exportation inaingiza fedha hasa za kigeni ndani ya nchi.Bora waje tuendelee china miaka 1950/60 ilikuwa sawa na nchi nyingi mno za kiafrika Sasa sie tuko pale pale ,cheki saizi ipo juu kisa cha weupe.
Cheki mwigulu hana namna ya kutafuta mapato Bali anakamua wanachi kwa tozo. Bora angepambana tukalima tukafuga kisasa ili tufanye exportation hata tunapata za kigeni. Yaani afrika acha kabisa naona Bora tuzaliane.tupoteze I'd ya black Kama walivyofanya huko Argentina
Mpaka ije kutokea kwamba rais wa Tanzania ni Hao Chin Zung ni miaka mingi saaana!Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Africans PhD zao ama degree zao ni za kusafiri Ila ukimpeleka kwenye reality hajui anachofanya.Umejibu vizuri sana, yaani level ya decision makers wetu kwenye developmental initiatives zitakazoingiza fedha nyingi za kigeni ni very limited. Kila mwaka wanafikilia ni namna gani watawaminya wananchi ambao ni masikini, wanashindwa kufikilia ni nini kifanyike hata ikibidi ku-subsidize developmental projects or initiatives ili tuzalishe na kuexport zaidi. Hakuna nchi duniani iliyoweza kuendelea kwa kutegemea importation peke yake, ideally importation inatoa fedha za kigeni ndani kwenda kwa nchi zinazowaletea bidhaa while exportation inaingiza fedha hasa za kigeni ndani ya nchi.
Sasa unategemea nini kama Kiongozi mkuu kasoma PhD yake; definetely ni kama online PhD tu kwani huwezi kusoma PhD , huku ukiwa na wajibu na respobsilities za uwaziri hata kama makaratasi yako yanasema incampus, na kibaya hujawahi kupractice popote hiyo post-PhD. Leo mtu huyohuyo kwa kutumia kigezo cha kuwa na PhD ndio anapewa jukumu la kusimamia huendeshaji wa uchumi wa nchi, Again what do you expect?
Na Tunavyo penda mbunyeWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Tunavyo penda mbunye tutauza nchi Kwa lisitiWakuu Salaam,