Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Waje sawa, lakini kwa wingi na spidi yao na madhaifu yetu watanzania/waafrika huoni kwamba tunakaribisha ukoloni mamboleo na mambozamani??
Iwe like German like Hitler era. Kwa 100-200 yrs to come wachina watakuwa ndio wameishika nchi na vinono vyote vinaliwa na wao na sie tutakuwa manamba wao . Black mpe k tu ya kichina atafune mziki kwa mbali na ana drive basi anavimbaje anaona Maisha akayamaliza ,hawawazi kizazi Chao miaka 200-500 ijayo ,
 
Acha uoga.
Uoga wetu tumewabania wageni, tumezuia ueaia pacha lkn tunaendelea kuwa maskini wa kutupwa.
Wacheni wageni waje watuamshe akili wabongo iko lala sana
 
We uliona wachina laki 3 humo kwenye daladala? Au uliwaona wapi?
 
Mwaka 2011 nilipanda Bus kwenda kusini nyanda za juu.
Kama kawaida siti yangu ni mwisho kule nyuma kabisa.A
Aisee waliingia wachina 11+ hivi wanaenda mkoani na walishukia porini kabisa hapo makambako.
Sasa swali, walienda kufata nini kule?
Leo wako wapi?
 
Diversity is development, waache watujengee nchi km tumeshindwa kila kitu tunalalamika nini? Wamarekani wameendelea kwa kukaribisha wageni, hata wakizaa na wazawa huenda tukapata kizazi kipya chenye akili, sio hiki cha kubet uzuri wanakuja kuishi na kufanya biashara sio wakoloni wanaohamisha bila kurudisha! Kule kwao kumejaa jamani
 
Kuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.

Kuna mdau alipost humu.
Juzi niliona CCTV kuna mchina anaongea akiwa huko kwao na anaongea kiswahili kwamba yeye ni msukuma na kwao ni Shinyanga kule Sumve, daaaa!.

Nikacheka, eti Sumve - Shinyanga aseee 😆😢.!!
 
Umejibu vizuri sana, yaani level ya decision makers wetu kwenye developmental initiatives zitakazoingiza fedha nyingi za kigeni ni very limited. Kila mwaka wanafikilia ni namna gani watawaminya wananchi ambao ni masikini, wanashindwa kufikilia ni nini kifanyike hata ikibidi ku-subsidize developmental projects or initiatives ili tuzalishe na kuexport zaidi. Hakuna nchi duniani iliyoweza kuendelea kwa kutegemea importation peke yake, ideally importation inatoa fedha za kigeni ndani kwenda kwa nchi zinazowaletea bidhaa while exportation inaingiza fedha hasa za kigeni ndani ya nchi.

Sasa unategemea nini kama Kiongozi mkuu kasoma PhD yake; definetely ni kama online PhD tu kwani huwezi kusoma PhD , huku ukiwa na wajibu na respobsilities za uwaziri hata kama makaratasi yako yanasema incampus, na kibaya hujawahi kupractice popote hiyo post-PhD. Leo mtu huyohuyo kwa kutumia kigezo cha kuwa na PhD ndio anapewa jukumu la kusimamia huendeshaji wa uchumi wa nchi, Again what do you expect?
 
Wachina wako overpopulated huko kwao, lkn piawanatafuta soko la budhaa kutoka kwao na raw material. Sisi serkali zetu tunakabana na upinzani fake na uchawa haipo mipango ya miaka 100 ijayo kulinda nchi kiuchumi, kisiasa , kiusalama na kiutamaduni.
Sisi raia tuanzishe JF bunge huu mswada uje kwa mjadala na tutoe maamuzi. Aidha
Wadada waoeni wapeni watoto ambao wakiwa na miaka miwilitimua mama peleka mtoto kwa bibi Nyamisati akue akijua yeye ni Masanja , Mkude au Mwakarobo.
Hawa wapo wanatembeza hadi chupi mtaani serkali ipo ipo utadhani hakuna mipaka.
 
Tatizo sio wageni, tatizo ni wageni kutoka Asia.
Lile bara limejaa watu wakatili , wabinafsi na wenye kupenda utumwa.
Watu wengi waliopata marafiki wa Ulaya na US maisha yao yamechange na kuwa bora ila wale waliopata marafiki wa Asia wameishia kufunfushwa yoga, karate, uchawi na dini tu
 
Mpaka ije kutokea kwamba rais wa Tanzania ni Hao Chin Zung ni miaka mingi saaana!
 
Africans PhD zao ama degree zao ni za kusafiri Ila ukimpeleka kwenye reality hajui anachofanya.
Yaani mtu a claim ayakumbuke mtihani ukija ayatapike akiyapatia basi anakuwa amefaulu akaitwa msomi , hawaangalii innovation yake,
Yaani kwa afrika mtu kua mbunge ama wazuri inaonekana ni ujiko na ni ultimatum position Mana Africa viongozi wanaabudiwa mno.
Trump.sijui.anafikia nusu ya utajiri wa Elon Musk.ila.kwa.afrika matajiri ni viongozi ambao wanaiba Kodi za wananchi wao waliowaamini
 
Na Tunavyo penda mbunye
Tunavyo penda mbunye tutauza nchi Kwa lisiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…