Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Wachina na Wahindi ni Janja janja nyingi sana na sio watu walio nyooka ivo Wanahitaji a very close monitoring vingenevyo tutajikuta Kama taifa fulani ivi Africa kiasi kwamba lilikuwa financed full na Chinese kwenye Mega projects zao Na deni lilifika Juu mpaka wakaanza Kuchukua resources zao for free
 
Mchina kama kinyonga , ana adapt na mazingira
 
Bora waje kwa wingi tuchanganye mbegu labda Watanzania tutaambulia akili hata kidogo.
😁😁
Huu ujumbe wako umenikumbusha kauli ya baba mmoja (Kwa kumuangalia yupo kwenye 50’s).

Tulikuwa hosp. tupo kwenye foleni ya kuingia kwa Dr. na Dr. mwenyewe kwa muda huo alikuwa mmoja (Ni hosp.kubwa ya private).

Ghafla likamtoka neno
“Yaani kwa hawa wanaume na wanawake wa sasa hivi tuliopo TZ waje tu watuoe wote, unalipa pesa lakini ni kama unatibiwa bure, hakuna mwanaume wala mwanamke wa kusimama na kuhoji kwanini iwe hivi”.

Mara akaugeukia uongozi wa hosp. “Nyie mnalipa madaktari pesa ya nyanya halafu mnategemea watadumu.”
 
Uko sahihi.

Kinachotokea Egypt hivi sasa.

But I guess huo ndio mpango wa nchi nyingi za magharibi na ndio msukumo mkuu uliopelekea ukoloni, kumiliki mapande ya Afrika.

Siku haiko mbali sana maana sasa tunawasaidia kwa mikono yetu na tabasamu matata.

Karibu Afrika, Karibu Tanzania.
 
Mbona nyie mpo Ulaya
 
sasa

Kaka ukifika hapo mjini Guangzhou kuna wabongo wengi balaa. Tena kuna dada zetu wamepeleka hadi huduma ya utelezi kule. Ndio mambo ya globalization ndugu
da!!! utelezi noma sana!!!!,,,,,,,natamani niteleze kama kambale!!!
 
Ninakushauri uwafiche dada zako, vinginevyo atazaliwa mchina mwingine naye azalishe mchina.
 
Acha waje wachanganyikane na waswahili labda wataachana na ngoma "shughuli" wajikite kwenye kazi na maendeleo.
 
Mbona na nyie mmejazana uko mitaa ya kichina na mmeshafungua na migahawa...uko.
Waacheni wachina waje labda watatuamsha.
 
Unaushahidi au ni maneno tu.
Mkuu,
Janja Janja ya wachina inajulikana mkuu, labda kama hujawahi kua nao karibu. La muhimu ni kuwajengea mfumo wa uwajibikaji katika kulipa kila stahiki wanayotakiwa kufanya kwetu. Mishahara bora ba kwa wakati, kodi sahihi na kwa wakati, lakini pia na mambo yote takiwa na sheria na utaratibu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…