Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Wahindi na Waarabu mmewazoea sasa mnashangaa Wachina? Hamuoni pia weusi walivyojazana Ulaya na Marekani na hata huko China? Mnadhani ni nyie tu ndio mna haki ya kutafuta fursa duniani? Nani aliwaambia dunia hii ni yenu peke yenu? Tupambane tuache kudekadeka, dunia inabadirika, ndio utandawazi huu, mnapenda vitu vyao vya bei chee wao hamuwataki?
 
Ni kweli kwamba viongozi wetu hawajaliona hili??? I don't think. Kuna namna watakua wameona tunanufaika nao
Wachina Masikini na wana njaa bora wangejaa Wamarekani nchini kuliko kuja Wananchi Masikini kutoka China
 
Wakuu Salaam,

Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.

Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.

Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?

Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...

Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?

Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Changes are inevitable, never afraid of changes
 
Kuna wachina walikuja kwetu wakaniuliza kama naongea kichina?
Sasa hao wawili tu unaogopa,
Kune mikocheni kuna china town kuna supermarket mgahawa ambayo wanaingia wao tu wazawa hawaendi wanaogopa kulishwa nyoka
 
Wakuu Salaam,

Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.

Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.

Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?

Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...

Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?

Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Huo ni wivu na uoga tu. Nchi yetu siyo kisiwa, kama ambavyo kuna wabongo kibao China na nchi nyingine ndivyo hivyohivyo kuna raia wa mataifa mbalimbali hapa nchini.
Lini ulisikia Wachina wakilalamika wingi wa Waafrika katika nchi yao? Huko Ulaya na Amerika pia waafrika wamejazana na husikii malalamiko so tulia.
 
Huku watakuwa na joto kwa sababu ya hali ya hewa mkuu. Pia watoto watakuwa wamoto tu baada ya kujamiana na waafrika.😃😃
😀😀😀 nna shemeji yako anaitwa Ching Dong Dee, au jina analotumia huku ni Branca, so cold bro... sema ndo vile ana vihela hela kidogo. Nipo nae Nyamisati huku
 
Huu uzi una hisia mchanganyiko hofu sonona wakati huo huo unacheka pia.
 
Duuuh hatari sana hii... Ila labda ndio uwekezaji...

Shida ya wachina ni wajanja wajanja sana kwenye kulipa kodi. Laiti kama wangekua wanalipa kodi stahiki kwa wakati bila janja janja ya kushirikiana na watu wetu, hakika kwa uwekezaji wao tungekua tumenufaika sana. Sema ndo hivyo tu, tumuachie Mungu!!
Hakuna nchi imeendelea kwa kutegemea foreign investors (Rostam Aziz alitoa darasa pana tu juzi juzi hapa). Pia hii imenifanya kurejea na kuangalia benefits zipi kama Taifa tumezipata kwa kuingia kandarasi na makampuni ya kigeni katika madini (mfano wa foreign invetment nchini), to my surprise yote yanayotajwa hayana practical advantage kwetu raia, ni kama wakoloni kujinadi kutufanyia wema kupitia ukoloni kwa kutujengea miundo mbinu ya barabara na reli, vitu ambavyo kimsingi walivijenga ili kuwepesisha kazi zao za unyonyaji kwetu.

Sasa hawa mabwana (wachina) ni mpaka uwe umefanya nao kazi ndo utawajua vizuri, ni wababaifu kwa kiwango cha juu sana, mfano wa hayo ni haya: -
  • Si wa kweli katika dealings zao (they are always very tricky in their dealings)
  • Wanapenda shortcuts (wababaifu katika kodi na malipo mengine kwa Serikali)
  • Hawaheshimu sheria za kazi na hawana work-family balance nzuri kwa wafanyakazi wao
  • Hawatoi nafasi muhimu kwenye makampuni yao kwa wazawa (kama wewe sio mchina utakuwa ni mgonga nyundo tu)
  • They believe and practically implement the cheap labour ideology kuliko watu wengine wowote
 
Back
Top Bottom