Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Wachina Masikini na wana njaa bora wangejaa Wamarekani nchini kuliko kuja Wananchi Masikini kutoka ChinaNi kweli kwamba viongozi wetu hawajaliona hili??? I don't think. Kuna namna watakua wameona tunanufaika nao
Changes are inevitable, never afraid of changesWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
TashtwitiWaje tu wazae na wasambaa labda kuna kitu kitatokea.
Kuna wachina walikuja kwetu wakaniuliza kama naongea kichina?Wakuu Salaam,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waje tu wazae na wasambaa labda kuna kitu kitatokea.
Huo ni wivu na uoga tu. Nchi yetu siyo kisiwa, kama ambavyo kuna wabongo kibao China na nchi nyingine ndivyo hivyohivyo kuna raia wa mataifa mbalimbali hapa nchini.Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Udhaifu wetu ni tatizo letu siyo lao.Waje sawa, lakini kwa wingi na spidi yao na madhaifu yetu watanzania/waafrika huoni kwamba tunakaribisha ukoloni mamboleo na mambozamani??
Nakubaliana nawe kabisaBora waje kwa wingi tuchanganye mbegu labda Watanzania tutaambulia akili hata kidogo.
Huku watakuwa na joto kwa sababu ya hali ya hewa mkuu. Pia watoto watakuwa wamoto tu baada ya kujamiana na waafrika.ππShida wabaridi sana
πππ nna shemeji yako anaitwa Ching Dong Dee, au jina analotumia huku ni Branca, so cold bro... sema ndo vile ana vihela hela kidogo. Nipo nae Nyamisati hukuHuku watakuwa na joto kwa sababu ya hali ya hewa mkuu. Pia watoto watakuwa wamoto tu baada ya kujamiana na waafrika.ππ
Kule mtoto anaitwa Isaya Mwakijinja , huku Lee Hong, ni kubadilishana tu.Mi ntaenda jimbo la ChengDuo Doo
Hakuna nchi imeendelea kwa kutegemea foreign investors (Rostam Aziz alitoa darasa pana tu juzi juzi hapa). Pia hii imenifanya kurejea na kuangalia benefits zipi kama Taifa tumezipata kwa kuingia kandarasi na makampuni ya kigeni katika madini (mfano wa foreign invetment nchini), to my surprise yote yanayotajwa hayana practical advantage kwetu raia, ni kama wakoloni kujinadi kutufanyia wema kupitia ukoloni kwa kutujengea miundo mbinu ya barabara na reli, vitu ambavyo kimsingi walivijenga ili kuwepesisha kazi zao za unyonyaji kwetu.Duuuh hatari sana hii... Ila labda ndio uwekezaji...
Shida ya wachina ni wajanja wajanja sana kwenye kulipa kodi. Laiti kama wangekua wanalipa kodi stahiki kwa wakati bila janja janja ya kushirikiana na watu wetu, hakika kwa uwekezaji wao tungekua tumenufaika sana. Sema ndo hivyo tu, tumuachie Mungu!!