Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Duh..tukiwaambia tuwasaidie huwa mnajifanya wajuaji acha akili ziwakae sawa.
 
Unaacha kwenda trusted entities za kuagiza mizigo kama ebay,alibaba nk kisha unaagiza kwa "Unknown Person"? How come ulimuamini?

Hapo umeshaliwa mama, japo ni ngumu kumeza ila jikaze tuu ili uendelee na maisha mengine..
Huyu ni mtu WA pili anatapeliwa rimu
Kuna jamaa yangu mpaka Leo rimu hazijafika
 
Kilasiku nasema WaTz ni maandazi washamba wapuuzi mnaishia kunitukana... WaTz mnajifanya mnajua while you know nothing πŸ˜…πŸ€£πŸ’©πŸ’©πŸ’© imeisha hiyo vaa uende
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yanii jamaa umenichekeshaa balaaa... yani daah AISEE ETI vaa uendeeee
 
Hiyo pesa ulimtumia kwenye akaujti ya ktz au? Utakuwa umetapeliwa na muwest bila shaka
 
Ukitaka gari Be forward wapo na wana ofisi ocean road, huwezi kutapeliwa.

Au kama utaki usumbufu unakwenda show room tu, pesa inazidi kidogo lakini unaepuka mengi.
Yani hiyo nzurii aisee ilaa kutuma mamilion Mtandaoni siweziii.. Uko alibaba tu huwa siaminii nimekuwa tomasoo sanaa toka Nipigwee kihela changu mtandaoni sirudiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…