National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
eeeh! hapo akimpata mganga wangu.. mbona jamaa atatembea kwa miguu kutoka Thailanda hadi alipo ElsaAnna .. tena atarudisha mala mbili π πAhahahπ€£π€£π€£π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeh! hapo akimpata mganga wangu.. mbona jamaa atatembea kwa miguu kutoka Thailanda hadi alipo ElsaAnna .. tena atarudisha mala mbili π πAhahahπ€£π€£π€£π€£
Huyu anatakiwa kupiga makofi makubwa matatu, Police waje na sheria kuwa kama mtu anatapeliwa kizembe kama huyu basi kuwa na adhabu kwa ujinga waoUpo wapi Kwanza nije nikutandike makofi?
Duh..tukiwaambia tuwasaidie huwa mnajifanya wajuaji acha akili ziwakae sawa.Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
huku halipo hadi mwizi wetu alete mzigo kwanza, ndio atatoa anacho jisikia moyoni, ila nae akikimbia atajijuuu π π πajiandae kutapeliwa tena na mganga wakoππππ
Unaona sasaπππhuku halipo hadi mwizi wetu alete mzigo kwanza, ndio atatoa anacho jisikia moyoni, ila nae akikimbia atajijuuu π π π
Huyu ni mtu WA pili anatapeliwa rimuUnaacha kwenda trusted entities za kuagiza mizigo kama ebay,alibaba nk kisha unaagiza kwa "Unknown Person"? How come ulimuamini?
Hapo umeshaliwa mama, japo ni ngumu kumeza ila jikaze tuu ili uendelee na maisha mengine..
Chai yenye mchanganyiko wa tangawizi na malimau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapopo nna hamu nina hamu nao mie? Mbwa waleee khaaaahWa Nigeria wapo hapo parlmvillage badae shangwe Samaki samaki
Ni mbongo yupo kariakooHuyo Ni Mkenya hakuna Thailand hapo
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π yanii jamaa umenichekeshaa balaaa... yani daah AISEE ETI vaa uendeeeeKilasiku nasema WaTz ni maandazi washamba wapuuzi mnaishia kunitukana... WaTz mnajifanya mnajua while you know nothing π π€£π©π©π© imeisha hiyo vaa uende
yani mimi hata kusema nitume helaa ya kuletewa GARI aiee labda nipitie kampuni ya hapa bongoooo lasivyoo nooNi mbongo yupo kariakoo
Ukitaka gari Be forward wapo na wana ofisi ocean road, huwezi kutapeliwa.yani mimi hata kusema nitume helaa ya kuletewa GARI aiee labda nipitie kampuni ya hapa bongoooo lasivyoo noo
Hiyo pesa ulimtumia kwenye akaujti ya ktz au? Utakuwa umetapeliwa na muwest bila shakaHabari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Yani hiyo nzurii aisee ilaa kutuma mamilion Mtandaoni siweziii.. Uko alibaba tu huwa siaminii nimekuwa tomasoo sanaa toka Nipigwee kihela changu mtandaoni sirudiiiUkitaka gari Be forward wapo na wana ofisi ocean road, huwezi kutapeliwa.
Au kama utaki usumbufu unakwenda show room tu, pesa inazidi kidogo lakini unaepuka mengi.