Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Nilijua wanaijeria ndio wenye uwezo mkubwa kwenye nyanja hiyo tu,kumbe umeweza kutapeliwa hata na Mthai 😂.Au ulileweshwa na moja ya movie zao😀
 
Nakushauri kubaliana na hali. Hiyo ndo imeshaenda. Kwenye maisha ya upambanaji ni kitu cha kawaida kutokea. Mwaka 2019 kuna mama aliliwa kama 108m na sio kwamba hata alituma pesa.. alienda kabisa China kwenye ofisi zao kuagiza mzigo. Kontena zimefika hazina rim hata moja bali matakataka kama mawe na makaratasi. Karibu tumpoteze ila akajipanga upya na sasa hivi yuko njema kifedha kuliko mwanzoni. WAPUUZE wanaocheka hapa kwasababu watu wa aina hiyo ni maskini hawajui mambo ya upambanaji. POLE SANA NDUGU
 
Asante sana kwa kunitia moyo , be blessed
 
Daah hatarii sanaaa... polenii!!
 
Hii biashara ya karatasi inaonekana ina utapeli mwingi yaani kontena zima duh
 
Hata sio mkenya mkuu mikocheni masaki na Upanga Kuna Wanaigeria kibao wanaishi kwenye Apartment kali sana hawajulikani Wanafanya kazi gani na wanakula bata kinyama.
Sasa kama wanaweza vuna toka kwambumbu tena bila jasho kwanini wasilebata 🦆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…