Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Ulikutana nae katika Platform gani ?; Ulipataje contact ?, Contact zake ni Zipi na Pesa ulituma kwa nani / Kampuni gani

Hata isipokusaidia wewe kurudisha pesa huenda ikamsaidia mwingine asitapeliwe na huyu scammer au kama kuna identity theft mtu asiendelee kuchakufuliwa ID yake na hao scammers
 
Mtandaoni mkuu,
 
Mtandaoni mkuu,
Hata huu ni mtandao; Contacts zake ni zipi pesa ulituma wapi ? kwenye namba gani / electronic money / bank transfer au medium ipi ? ali-act kama kampuni au individual; kama ulikutana nae kwenye platform ya biashara mlipoti na huko ili asiendelee kuwatia hasara raia wengine....
 
+66 64 264 1701 hizo ndo number zake mkuu, anaitwa Penyada Noiainta
 
Umepigwa
 
Niko nachat nae hapaa huyu mtailand[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anajibu msg kabisaa hata namba hajabadilishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…