Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
ashapata hela ya unga mana naambiwa ni ghali sanaHuyo Ni Mkenya hakuna Thailand hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ashapata hela ya unga mana naambiwa ni ghali sanaHuyo Ni Mkenya hakuna Thailand hapo
Mtandaoni mkuu,Ulikutana nae katika Platform gani ?; Ulipataje contact ?, Contact zake ni Zipi na Pesa ulituma kwa nani / Kampuni gani
Hata isipokusaidia wewe kurudisha pesa huenda ikamsaidia mwingine asitapeliwe na huyu scammer au kama kuna identity theft mtu asiendelee kuchakufuliwa ID yake na hao scammers
Hata huu ni mtandao; Contacts zake ni zipi pesa ulituma wapi ? kwenye namba gani / electronic money / bank transfer au medium ipi ? ali-act kama kampuni au individual; kama ulikutana nae kwenye platform ya biashara mlipoti na huko ili asiendelee kuwatia hasara raia wengine....Mtandaoni mkuu,
🤣🤣🤣Pole sana .. Upo wapi ? ili usitumie gharama ya ziada . tumroge tu.. ukitaka mganga wa uhakika njoo PM
🤣🤣🤣ajiandae kutapeliwa tena na mganga wako😂😂😂😂
Ili umtapeli tena?[emoji1787]Pole sana .. Upo wapi ? ili usitumie gharama ya ziada . tumroge tu.. ukitaka mganga wa uhakika njoo PM
+66 64 264 1701 hizo ndo number zake mkuu, anaitwa Penyada NoiaintaHata huu ni mtandao; Contacts zake ni zipi pesa ulituma wapi ? kwenye namba gani / electronic money / bank transfer au medium ipi ? ali-act kama kampuni au individual; kama ulikutana nae kwenye platform ya biashara mlipoti na huko ili asiendelee kuwatia hasara raia wengine....
Kinachokuchekesha ni nini?
Yalikuwa manne.Hii biashara ya karatasi inaonekana ina utapeli mwingi yaani kontena zima duh
Ila sisi wabongo! Mhhhh, ukute na ya kutolea ulimtumiaKama kuna kutumia hela tena nimeshakua mweupe peeh!!
UmepigwaHabari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!