Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Mkenya ameshachukua milioni zake 15 cheki anavyokimbia utadhani anapaa 😁
FB_IMG_16854169859983101.jpg
 
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Wewe ni kabila gani?? ,na kama ni Muha ni Muha wa wap?? Au msukuma wa wapi?
 
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Ulituma hela kwa njia gani ? ulinitumia platform ipi kutuma pesa yako
 
Back
Top Bottom