Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #241
afadhali wewe kidogo una akiliMwanamke akipenda anavumilia hat umwambie nitakupa elf 20 baada ya wiki 2 hata hajali ila mkikutana mnaoviziana
Njoo nikupe
Nikija unipe mwendo wa invoice
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wazo ulilo nalo ni lipi sasa, au umechanganyikiwa
Achana naePesa ninayo ila sitaki kuitumia kwa mtu asie sahihi ndio maana nataka nimkomoe
Ahsante una unajielewa sana bidadaHuyo mwanamke ni gold digger huyo kimbia kabisaa🤣
Kuhudumiwa sio tatzo ila sio kindez ndez kama huyu dem anavyotalaMi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tu
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.
Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
UOngo upi hii ni fact alikuja kwangu jumapili mchana tukaondoka wote jumatatu asubuh kwenda makaziniUmeanza uongo sasa 🤣🤣🤣
Kuna mizinga halafu kuna nuclear annihilation.Mi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tu
Atajua mwenyewUnadanganyika kirahisi sana😁😁😁😁Kwa hiyo unahisi kalia kweli?
Hawa kausha damu mbona wengine hatuwapati tuwape maneno yao?Achana nae
Inawezekana ana mwanaume mwingine anakuomba prsa kutafuta namna ya kukukera
Yes inawezeka kabisa nimekuelewa bidadaAchana nae
Inawezekana ana mwanaume mwingine anakuomba prsa kutafuta namna ya kukukera
Nimeshangaa sana mkuuKuna mizinga halafu kuna nuclear annihilation.
Yani mwanamme mwenyewe maisha anajipanga bado halafu anaombwa iPhone, kabla hajajipanga iPhone anaombwa kodi.
Hilo penzi au biashara?
🤣🤣🤣🤣 dada unanirudisha niliaga kwenye huu uziWakoloni wenyewe walikaa wakaondoka,si eti eeh😁???
Hii biashara ya ngono.Nimeshangaa sana mkuu
🤣🤣🤣🤣 Eti nilie kwasababu ya waebrania kweli?? Hao wana wa Israel wanilize mimi mjukuu wa Lilith???Unadanganyika kirahisi sana😁😁😁😁Kwa hiyo unahisi kalia kweli?
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mbona huyu demu kama namfahamu..?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna ambae nilikua nae juzi nae ana iphone x na kaniambia haitaki tena anataka ku top up achukue 13 pro max. Nikamuambia umeambiwa uongeze shing ngapi anadai kaambiwa ajazie 1.5m. Namuuliza ehee we una ngapi sasa kati ya hizo? Anasema ana 100k! (Najua ni uongo hana ata mia) [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilicheka sana nikamuambia hebu vua nguo tulale..
Misso Misondo ushaanza fix 🤣🤣🤣UOngo upi hii ni fact alikuja kwangu jumapili mchana tukaondoka wote jumatatu asubuh kwenda makazini
Mtu unamuita anarequedt bolt 1500/2000 anataka umlipieHawa kausha damu mbona wengine hatuwapati tuwape maneno yao?
Yani tunapata wanawake wana heshima mpaka inakera 🤣🤣🤣