Wakuu nina wazo

Nipo na Dada hapa hebu kuwa na adabu hata kidogo kama punje ya ulezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimetamani nikujibu kwa voice note 🀣🀣🀣
Ngoja nirecord halafu niitume mana nahisi sifaidi kucheka kabisaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiki kicheko mbona kama zile jingle za vichekesho vya Wachina? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo ameshakufanya ATM wake. Ukitaka kufa kwa stress na kufupisha maisha ya kuishi endelea naye, lakini huyo siyo mwanamke wa kuwa naye kwenye mahusiano. Kama ulivyosema hapa mwishoni, jirudishe kijanja umkunje ipasavyo mara ya mwisho na kupotea.
 
Mimi ninataka nijifunze kwa watu kama hawa demu akiomba hela tu unampa. Mimi kiukweli ni mgumu sana kutoa hela yangu kienyeji enyeji tu. Na hela ikinitoka ninapata homa kabisa na akili inakuwa haikai sawa.
 
Ila all in all sisi wanawake wa ukanda huu tuseme subsaharan eee kiwango cha mapenzi kinapimwa na kiwango cha maokoto
Wanawake mmevurugwa kimfumo.

Kuolewa mnatolewa maokoto yanaitwa mahari.

Kimfumo mmeshawekewa kuwa nyie ni bidhaa inayouzwa.

Sasa hapo msichana akiona mapenzi ni sehemu ya kupata maokoto utamlaumu vipi?

Utamlaumu vipi ikiwa hata kuolewa anatolewa maokoto ya mahari yanajulikana kabisa kimila na usipolipa haikubaliki kabisa?
 
K si zina utamu huo huo? Au hiyo class ya juu ina ladha ya vanila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…