Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

😂😂😂Lakini inategemea Jamani hasa Hawa wa kula na kusepa ila km mtu mwenye malengo anatoa tu na Wala haombi chochote
Yeyote anaetoa lazima nayeye kuna kitu anataka, haiwezekani utoe bure bure tuu hivi hivi hapana.

Hawa wa kula na kusepa imebidi iwe hivyo maana ukizubaa kidogo unashushiwa invoice ya maana sasa tabu zote za nini si bora utafune mzigo mapema upite zako ivi.👉
 
Nyie watu wa ajabu sana. Mungu anawapenda, anawapa ishara zote mwanzoni kabisa kuwa huyo mwenza wako hakufai. N a wewe bado tu umekodoa macho unakusanya za mizinga.
Tafuta mke mwema, mcha Mungu, asie na makuu na owa kabisa uone baraka na raha maishani.
 
Mi wangu kaniacha halafu kodi ya fremu mwezi ujao 😭😭😭😭 nimelia sana

Kaninunulia bando la kuniaga kwanza la mwezi ili nipate kuingia JF kutoa machungu 🤣🤣🤣🤣 wanaume wote mlaaniwe
😂😂😂Pole my Wii mm nilitak kuanzisha ugomvi nikakumbuka kakaako hajalipa Kodi nikaghairi kwanza 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana nasema siku hizi mapenzi ni mchezo wa kuviziana.. anaewahi ndio mshindi. Ke anawahisha mahitaji ili achukue chake mapema, huku me nae anawahi kutaka gemu ili akishakula asepe..😄 Patamu hapoo na gemu haitaki hasira ukigundua umewahiwa unakua mpole unacheki ustaarabu sehem nyingine✌️😊
😁😁😁Aluta continua
 
Ni kuliana timing ukipigwa unaenda kuugulia maumivu pembeni 🤣🤣🤣🤣
 
Yeyote anaetoa lazima nayeye kuna kitu anataka, haiwezekani utoe bure bure tuu hivi hivi hapana.

Hawa wa kula na kusepa imebidi iwe hivyo maana ukizubaa kidogo unashushiwa invoice ya maana sasa tabu zote za nini si bora utafune mzigo mapema upite zako ivi.👉
Mwanamke akipenda anavumilia hat umwambie nitakupa elf 20 baada ya wiki 2 hata hajali ila mkikutana mnaoviziana
Njoo nikupe
Nikija unipe mwendo wa invoice
 
🤣🤣🤣 Asante yani nimecheka nilivyoachwa mpk machozi, yani nimeachwa sikukuu imagine?? Aliyeniibia babe wangu puliiiiiz anirudishie kabla sijaenda kumroga 😂😂😂😂
Wa kulia hapa hata simuoni 😂😂😂😂
Hesabia Yuko likizo nje ya nchi kale kuku shushia wine 🤣🤣
 
Wa kulia hapa hata simuoni 😂😂😂😂
Hesabia Yuko likizo nje ya nchi kale kuku shushia wine 🤣🤣
Wizo kweli nimelia babe wangu bado nampenda 🤣🤣🤣🤣
Hapa nampa week asiporudi navuta file la maombi ya wana wa Israel nimuone atakayeweza kuchukua nafasi yake, jimbo haliwezi kukaa wazi…
 
Mi wangu kaniacha halafu kodi ya fremu mwezi ujao 😭😭😭😭 nimelia sana

Kaninunulia bando la kuniaga kwanza la mwezi ili nipate kuingia JF kutoa machungu 🤣🤣🤣🤣 wanaume wote mlaaniwe
Boss wangu Hana Hizo mbanga za kimaskini🤣🤣🤣yupo radhi akulipie kwanza hiyo frame ndio akuache
 
Ondoa shobo,Bora Mimi Nina irresponsible father kuliko wewe uliyetungwa vilabuni hujui thamani ya baba ndio maana unaweza ropokaropoka hovyo ......Narudia Tena sitaki quote zako
🤣🤣🤣🤣🤣 Melo atuwekee voice note naona sicheki vizuri
 
Back
Top Bottom