Wakuu nipeni mbinu za kukwepa kumnunulia demu bia night club

[emoji16][emoji16] ushi acha uchonganishii
Alafu mbona wewe sioni ukimalizia bandiko kwa

Cc: jinsia pendwa....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unanitafutia ban.

Cc huo ushamba uliopitiliza. Halafu kwani mimi mvulana kwani?
 
Basi amigo......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nwahi ibada ya jioni....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haya bwana
Cc ngoja nitoke humu
 
Subiri anunuliwe na wengine akishalewa unashikilia.

Ila usawa kama hausomi si uende tu kwenye vigodoro kule pia wa kubambia wapo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kama hauna hela hata ya bia moja kilabu unafata nini?Dawa ni kwenda siku ambazo una pesa ya kutosha.
 
Nimekubali msela wa Manzese.Upo vizuri.
 
Kama hauna hela hata ya bia moja kilabu unafata nini?Dawa ni kwenda siku ambazo una pesa ya kutosha.
Muda mwingine inatokea hela unakuwa ushazinywea bia za kutosha halafu anakuja mtoto kukuomba na yeye umnunulie ili akusambazie raha.
 
Bado Hujaachaga ule ujinga wako house gelo wenu mmefikia wap ndiyo maana jamaa kakuambia okoka umemaliza chuo? Supplementary vp umeclear dogo acha upang'ang'a usifkr wote humu ni vitoto kama ww
 
We fala usinishobokee

Wewe punga nini?
 
Loud and clear
 
Sasa unaendaje club huna kitu huoni Ni hatari sana utanunuliwa wewe bia ubambiwe
 
Kama huvuti fegi unafanyaje... Then unaomdoka na demu asubuhi saa 11 utamgegeda saa nhapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…