Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma hivi "ushi asha ushonganishi[emoji16][emoji16] ushi acha uchonganishii
Halafu nasikia mida hiyo tajwa unakuta zile dawa pakwa za kukaza k kuepusha bwawa zinakuwa zimeisha nguvu... Dume lazima ujione 'kibamia'Kama unataka looseball subiri kuanzia mida ya saa 10-11.Ila na wewe unaendaje kwenye starehe bila hela.unasherehekea ama kustarehe nini sasa kama uko majalala.Tulia home tu
Sasa wewe bwana dogo kama mfuko umechacha unafuata nini huko club?Wakuu nipeni msaada,,ishu ni hivi kuna mademu ukienda night club huwabambii bila kuwanunulia bia ,sasa naombeni mnipe msaada wenu nifanyaje ili niwabambie bila kuwanunulia bia maana muda mwingine unapata demu mzuuuuri takoo laini halafu anakuomba umnunulie bia ili umfaidi lakini kidume muda huo mfuko umechacha yani mavumba huna kabisa na kumuachia mtoto aende zake huwezi
Nipeni mbinu wakuu juu ya suala hili.
Ukiwa duniani uokoke, na ukienda mbinguni utakuwaje? Duniani jilushe mbinguni okoka.Mbinu nikuokoka tu
Jordi Pola = HR 666
JamiiForums kuweni makini na huyu mtu ni mtu msumbufu anafukua nyuzi zake kila jukwaa
Exactly.
Hapo juu hiyo ID(Jordi pola ) imechangia mada ilihali inaendeshwa na mleta mada, sijui analengo gani huyu jamaa.
Nahisi we mdo mjinga!poleFicha ujinga wako.
[emoji1] [emoji1] duh!! Akimbie pesa yake mkuu?Ukimuona, mmendee mpaka nae aone unammendea. Afu akiwa hana hili wala lile mguse afu muongeleshe, msalimie afu mwambie umependa company yake ila unataka umhamishe kwenda club nyingine (mtajie club kali zaid) afu mwambie lkn utanipitisha pale ATM (taja ATM maarufu hapo jiran). Afu uwemunamsikilizia huku ukiselebuka nae kidizain, very likely atakataa so we unakua umepata mtaji,...endeleza nae mserebuko na bia hata kuomba au akikuomba utakua na jibu tayar. Akikubali muende club nyingine jifanye unataka kuwaaga jamaa zako walio kaa kona flan then unamshtua muondoke, kimbiaaa!!