Wakuu nipeni mbinu za kukwepa kumnunulia demu bia night club

Wakuu nipeni mbinu za kukwepa kumnunulia demu bia night club

MKUU UNAPOINGIA CLUB JAMBO LA KWANZA KUFANYA

1.KAA MBALI NA MADEMU WAZULI WE KAA SEHEMU WASHA FEGI UANZE KUVUTA.

2.BAADA YA DAKIKA 30 AGIZA KINYWAJI CHA KWANZA UTULIE ZAKO NA KAA MBALI NA MADEMU WAZULI.

3.IKIFIKA MUDA KUANZIA SAA KUMI KUELEKEA SAA KUMI NA MOJA INGIA KWENYE DANCEFALL HALAFU TAFUTA DEMU WA KUCHEZA NAEE.

4.KUANZIA MIDA YA SAA 10 HADI 11 MADEMU WENGI WANAKUWA WAMESHALEWA POMBE HIVYO MIDA HIYO MADEMU WENGI HUTAFUTA WANAUME WA KWENDA KULALA NAO HAWEZI KUKUOMBA POMBE
Ushauri mzuri
 
Wakuu nipeni msaada,,ishu ni hivi kuna mademu ukienda night club huwabambii bila kuwanunulia bia ,sasa naombeni mnipe msaada wenu nifanyaje ili niwabambie bila kuwanunulia bia maana muda mwingine unapata demu mzuuuuri takoo laini halafu anakuomba umnunulie bia ili umfaidi lakini kidume muda huo mfuko umechacha yani mavumba huna kabisa na kumuachia mtoto aende zake huwezi

Nipeni mbinu wakuu juu ya suala hili.
Namna pekee ya kukwepa ni kuacha kwenda club
 
Wakuu nipeni msaada,,ishu ni hivi kuna mademu ukienda night club huwabambii bila kuwanunulia bia ,sasa naombeni mnipe msaada wenu nifanyaje ili niwabambie bila kuwanunulia bia maana muda mwingine unapata demu mzuuuuri takoo laini halafu anakuomba umnunulie bia ili umfaidi lakini kidume muda huo mfuko umechacha yani mavumba huna kabisa na kumuachia mtoto aende zake huwezi

Nipeni mbinu wakuu juu ya suala hili.
Zero IQ
 
Back
Top Bottom