Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ukiweza kuendesha gari bila kuliweka mafuta, hata hili la kutowanunulia bia pia utaliweza mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari sio lazima litumie mafuta ,kuna magari yanatumia maji.Ukiweza kuendesha gari bila kuliweka mafuta, hata hili la kutowanunulia bia pia utaliweza mkuu!
hahahaMbinu nikuokoka tu
Jaribu kuheshimu ushauri wa watu..Ficha ujinga wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri anunuliwe na wengine akishalewa unashikilia.
Ila usawa kama hausomi si uende tu kwenye vigodoro kule pia wa kubambia wapo.
Fanya ivoo MkuuBig up mwanangu ,,nimependa ushauri wako.
Asante sana mkuuNimekubali msela wa Manzese.Upo vizuri.
MKUU MIMI KWA UZOEFU WANGU TANGU NIANZE KWENDA CLUB NINACHOFAHAMU .....Kama huvuti fegi unafanyaje... Then unaomdoka na demu asubuhi saa 11 utamgegeda saa nhapi?
Usipende starehe kama huna pesa mkuu utaliwa tako.aah wakilewa wanazidi kuwa wakali hawataki kuguswa kabisa,,,,,halafu kwenda kwenye hayo magodoro ya uswahilini siwezi
Kwanza hamna madem pili kuna wavuta bangi na wakabaji hivyo hakuna usalama.