Wakuu nipeni mbinu za kukwepa kumnunulia demu bia night club

Usiwe unatembea na hela mfukoni kwani apo huwezi kununua pombe
 
Kama unataka looseball subiri kuanzia mida ya saa 10-11.Ila na wewe unaendaje kwenye starehe bila hela.unasherehekea ama kustarehe nini sasa kama uko majalala.Tulia home tu
Halafu nasikia mida hiyo tajwa unakuta zile dawa pakwa za kukaza k kuepusha bwawa zinakuwa zimeisha nguvu... Dume lazima ujione 'kibamia'
 
Sasa wewe bwana dogo kama mfuko umechacha unafuata nini huko club?
 
Msumbufu,mdhalilishaji. Kila jukwaa anzia hili,kisha MMU na mengine anafukua nyuzi zake kwa comment za aina moja
Exactly.

Hapo juu hiyo ID(Jordi pola ) imechangia mada ilihali inaendeshwa na mleta mada, sijui analengo gani huyu jamaa.
 
Ukimuona, mmendee mpaka nae aone unammendea. Afu akiwa hana hili wala lile mguse afu muongeleshe, msalimie afu mwambie umependa company yake ila unataka umhamishe kwenda club nyingine (mtajie club kali zaid) afu mwambie lkn utanipitisha pale ATM (taja ATM maarufu hapo jiran). Afu uwemunamsikilizia huku ukiselebuka nae kidizain, very likely atakataa so we unakua umepata mtaji,...endeleza nae mserebuko na bia hata kuomba au akikuomba utakua na jibu tayar. Akikubali muende club nyingine jifanye unataka kuwaaga jamaa zako walio kaa kona flan then unamshtua muondoke, kimbiaaa!!
 
[emoji1] [emoji1] duh!! Akimbie pesa yake mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…