Wakuu nisaidie kufafanua hii fixed acc ya NMB

Wakuu nisaidie kufafanua hii fixed acc ya NMB

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Hapa nimeweka mfano wa mwenzi mmoja.interest rate na ya mwaka mzima kwa mtaji wa milion 10
 

Attachments

  • D677F6E3-4A4C-4E87-B19B-903B037FB2A8.jpeg
    D677F6E3-4A4C-4E87-B19B-903B037FB2A8.jpeg
    240.6 KB · Views: 7
  • 968FAAD7-7083-4CDA-86EF-25AAF80A5D30.jpeg
    968FAAD7-7083-4CDA-86EF-25AAF80A5D30.jpeg
    132.1 KB · Views: 6
Uzuri wa fixed account hukatwi japo faida ni ndogo.Kama una uhakika hutatumia pesa yako kwa muda usiache kwenye service account.
 
Fixed deposits zinafaa kwa Wenye pesa nyingi na hawana uhitaji ama udhibutu wa kuwekeza kwenye high generating projects.
Imagine unaweka 10m upate Laki 5 baada ya mwaka! What a waste!
400mill and above ndio utaenjoy fd.
Kwa sie wenye million 10-100 bora ufanye biashara tuu
 
Back
Top Bottom