Wakuu nisaidie kufafanua hii fixed acc ya NMB

Wakuu nisaidie kufafanua hii fixed acc ya NMB

Weka Liquid Fund ya UTT. Last year walitoa 14%
 
Write your reply...yaani niwe na milion 10 alafu eti niweke fixed account mwaka mzima nipate faida laki 5.!mbona ni biashara kichaa hii hapo si bora utoe milion mbili uzungushe biashara. .ningekuwa mm natoa milion moja natafuta odds 1.25 au nampa simba win au liverpool,man city,madrid,barca wafunge goli moja tu full time hukosi odd 1.30 kwa wote ukistake milion moja inakuja mil.1.3 hapo faida laki tatu na hapo ukicheza hivo mara mbili kwa siku si ushaipata hio laki 5 ndani ya siku mbili tu...sasa ww yanini kuisotea hio laki 5 mwaka mzima ni matumizi mabaya ya muda
 
😁😁😁😁😁Mimi nashida na B1 tu mkuu, nisogezee niende BOT nikatengeneze mfumo wa maisha.
Usijali mkuu ngoja kwanza hiki kikao changu hapa Zurich na jopo la ma-financial advisers wangu na wanasheria kiishe. Nikishapokea report yangu ya kodi na mambo ya kifedha kutoka Price water coopers na Ernest and young faster naingia kwenye account zangu za JP Morgan, HSBC, swiss Credit na Deutsche bank na kukusogezea mzigo wa 1B $ kumbuka hiyo siyo madafu.

Vumilia kidogo tu.

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom