Write your reply...yaani niwe na milion 10 alafu eti niweke fixed account mwaka mzima nipate faida laki 5.!mbona ni biashara kichaa hii hapo si bora utoe milion mbili uzungushe biashara. .ningekuwa mm natoa milion moja natafuta odds 1.25 au nampa simba win au liverpool,man city,madrid,barca wafunge goli moja tu full time hukosi odd 1.30 kwa wote ukistake milion moja inakuja mil.1.3 hapo faida laki tatu na hapo ukicheza hivo mara mbili kwa siku si ushaipata hio laki 5 ndani ya siku mbili tu...sasa ww yanini kuisotea hio laki 5 mwaka mzima ni matumizi mabaya ya muda