---
Haha hapana bossPodocarpus Macrophllus.
Huo unaitwa Mkuyu wa mlima.
Au Mjunja kwa baadhi ya sehemu.
By the way unataka kutengeneza dawa ya Ukimwi nini? Mana mti wa pili huu unaulizia.
Podocarpus Macrophllus.Sidhani mkuu ila nice try
Kwa hizo sifa jaribu.Haha hapana boss
Nahitaji mti wa kivuli nyumabani usiovutia popo, wadudu na nyuki kwa wingi.
Pia unaokuwa haraka na usiodondosha matawi kiholela, yaani iwe evergreen
Sio vibaya uka niroecomedia boss wangu
Mkwatia - Markhamia lutea.Tofauti na hii una weza kunipatia nyingins kama sitokuwa nakusumbua
MUNGU AKUBALIKI MTU WANGU NGOJA NIIFANYIE RESEARCH.Mkwatia - Markhamia lutea.
Mkenge - Delonix regia.
Mguruka - Grevillea robusta.
Mtandambao - Piliostigma thonningii.
Msokanio - Albizia lebbeck.
Ukiikisa kwa jina la kuswahili itafute kwa jina la kitaalamu
Hii ni miti ya kivuli inayostawi vizuri kwenye mazingira ya joto ya Tanzania. Inakua haraka, hutoa kivuli kizuri, na haihusiani sana na wadudu kama popo au nyuki.
Miti hii pia hutoa mvuto wa mandhari kwa majani yake mapana au maua mazuri, na mara nyingi haidondoshi matawi kiholela.
Inapendekezwa kwa nyumba, bustani, au barabara au kwa mtu anayetaka kivuli cha kudumu bila usumbufu mwingi wa matunzo.
Ahsante.MUNGU AKUBALIKI MTU WANGU NGOJA NIIFANYIE RESEARCH.
AHSANTE KWA MUDA WAKO
🧠🧠🧠🧠🧠Mkwatia - Markhamia lutea.
Mkenge - Delonix regia.
Mguruka - Grevillea robusta.
Mtandambao - Piliostigma thonningii.
Msokanio - Albizia lebbeck.
Ukiikisa kwa jina la kuswahili itafute kwa jina la kitaalamu
Hii ni miti ya kivuli inayostawi vizuri kwenye mazingira ya joto ya Tanzania. Inakua haraka, hutoa kivuli kizuri, na haihusiani sana na wadudu kama popo au nyuki.
Miti hii pia hutoa mvuto wa mandhari kwa majani yake mapana au maua mazuri, na mara nyingi haidondoshi matawi kiholela.
Inapendekezwa kwa nyumba, bustani, au barabara au kwa mtu anayetaka kivuli cha kudumu bila usumbufu mwingi wa matunzo.
Mkuu🧠🧠🧠🧠🧠
Kama hutaki bougainvilleas bhasi jaribu hizi;Mkuu
Nataka niweke fensi kwa kutumia fensi waya, post zake pamoja senyenge (barbed wire) na hap hapo nataka nitupie na mmea utakao samba kwenye hio combination na utasambaa vizuri kusaidia privacy na ulinzi.
Nitumie zipi ila sitaki kutumia bougainvilleas
Karibu mkuu kwa kunipatia consideration tofauti tofauti
Thank you bro, you made my day.Kama hutaki bougainvilleas bhasi jaribu hizi;
Pendekezo langu la kwanza ni Mrembo Jasmini kitaalamu Jasminian Sambac au Maua Njunju au Manjunju.
Ina harufu nzuri, hupanda juu kwenye waya au trellis, Ina maua meupe yenye mvuto.
View attachment 3427369
Pendekezo la pili ni bwana mdogo Duranta Erecta au Maua nyanya au Mnyanya.
Hukua haraka kama fensi nene ya kati, maua ya zambarau na matunda(Ni sumu hivyo inahitaji umakini kwa watoto).
View attachment 3427370
Hizo hapo juu ni machaguo bora ya muda wote (GOAT) na nimeziona sehemu nyingi tu kwa Tanzania.
Kuna hizi pia unaweza kuzitafuta for your time Caesalpinia decapetala, Pyrostegia venusta na Quisqualis indica.
Utalinganisha na hizo nilizokupa, nazo Tanzania hapo zipo.
Mimi niko South Africa now, I do Gardening here.
Huu wa mwisho ni Mpodo,mti mbao,nyeupe,ila hiyo ya mwazo siijui