Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Mpido
AiseeMsipder
Kama hutaki bougainvilleas bhasi jaribu hizi;
Pendekezo langu la kwanza ni Mrembo Jasmini kitaalamu Jasminian Sambac au Maua Njunju au Manjunju.
Ina harufu nzuri, hupanda juu kwenye waya au trellis, Ina maua meupe yenye mvuto.
View attachment 3427369
Pendekezo la pili ni bwana mdogo Duranta Erecta au Maua nyanya au Mnyanya.
Hukua haraka kama fensi nene ya kati, maua ya zambarau na matunda(Ni sumu hivyo inahitaji umakini kwa watoto).
View attachment 3427370
Hizo hapo juu ni machaguo bora ya muda wote (GOAT) na nimeziona sehemu nyingi tu kwa Tanzania.
Kuna hizi pia unaweza kuzitafuta for your time Caesalpinia decapetala, Pyrostegia venusta na Quisqualis indica.
Utalinganisha na hizo nilizokupa, nazo Tanzania hapo zipo.
Mimi niko South Africa now, I do Gardening here.
26 LifeView attachment 3427880
Help me with this boss.
A tree that has long trunk, with its long flat shaped branches that grows slightly diagonal. The down branches are longer than the upper ones
Nimeona sehemu nikiwa kwenye usafiri na mti huo umekaa kwa namna kama niliochora
Nipe suggestions mtalaam