Wakuu thread tajwa izingatiwe.
Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa.
Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu kuliko uwezo wake. Haishangazi kuona vijana wako maofsini ila maisha wanayoishi ni magumu kuliko hata vijana wanaojitolea.
Ukitaka kudadisi mwenzetu shida nini, unaanza kumsikia kijana akiorodhesha mizigo inayomkausha damu. Utasikia wazee wangu nguvu zimeisha hivyo jukumu la well fare za home nimebebeshwa, na sio wazee tu hadi madogo wote macho kwangu. Zaidi sana hata wazee wa mwenzi wangu macho Yao yapo kwangu. Unavyoniona naishi hivi kifupi ni muujiza kama ambavyo mshara wa 60 wa walinzi Kwa mwezi unawezaje kuwatosha wao na familia zao. Japo tunajinadi uchumi umekua ila ukweli utegemezi bado ni mkubwa sana.
Wakuu mlio Iona Dunia hii Kwa muda mrefu hivi hata maisha ya zamani mwanaume alikua na jukumu la kulea wazazi wa mke ?