Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati fumba macho komaa na familia yako. Sio wakati wote usaidie. Neno kwa sasa sina halikuondelei utu au heshimaWakuu thread tajwa izingatiwe.
Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa.
Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu kuliko uwezo wake. Haishangazi kuona vijana wako maofsini ila maisha wanayoishi ni magumu kuliko hata vijana wanaojitolea.
Ukitaka kudadisi mwenzetu shida nini, unaanza kumsikia kijana akiorodhesha mizigo inayomkausha damu. Utasikia wazee wangu nguvu zimeisha hivyo jukumu la well fare za home nimebebeshwa, na sio wazee tu hadi madogo wote macho kwangu. Zaidi sana hata wazee wa mwenzi wangu macho Yao yapo kwangu. Unavyoniona naishi hivi kifupi ni muujiza kama ambavyo mshara wa 60 wa walinzi Kwa mwezi unawezaje kuwatosha wao na familia zao. Japo tunajinadi uchumi umekua ila ukweli utegemezi bado ni mkubwa sana.
Wakuu mlio Iona Dunia hii Kwa muda mrefu hivi hata maisha ya zamani mwanaume alikua na jukumu la kulea wazazi wa mke ?
Hapana shida ni wivu wa kipuuzi kutotaka mke afanye kazi.Shida mkipata ajira tu mnakimbilia kuoa...
Ati uvivu kufua,kupika na kupata sex muda wowote...mnasahau kuwa kufua hatafua nguo zako tu bali na zake pia,chakula vivyohivyo....
Na mwishowe mnakuja gundua sex hatutoi kilasiku au mtakavyo🥴😔
Piga mkuu nipo kwenye lineNiyoyaandika umeshindwa kuelewa sasa ngoja nikupigie simu mkuu
Pamoja sana wanguPiga mkuu nipo kwenye line
HakikaHapana shida ni wivu wa kipuuzi kutotaka mke afanye kazi.
Shida ndogondogo huko kwao mke hawezi subiri mume anaclear tu mwenyewe.
Sasa umekimbilia kuoa na umeoa jobless lazima kikulambe.
🤣🤣🤣 Tena kwa Wanyakyusa 🥴Tatizo lilianza wakati wa uchumba kama ulikimbilia kuhonga ukweni basi kazi unayo
Nisioe nikipata kazi?Shida mkipata ajira tu mnakimbilia kuoa...
Ati uvivu kufua,kupika na kupata sex muda wowote...mnasahau kuwa kufua hatafua nguo zako tu bali na zake pia,chakula vivyohivyo....
Na mwishowe mnakuja gundua sex hatutoi kilasiku au mtakavyo🥴😔
Kwani huna kazi kipenzi?Nisioe nikipata kazi?
..tafsri utakavyo, lakini Dunia ipo kwa style Moja ya life, my family first!!Nimekuelewa na ubepar wenyewe tunaujua Kwa nadharia tu. Kumbe ubepari ni kukaza komwe kama hauoni vile.
Sina nna kibaruaKwani huna kazi kipenzi?
Inatosha kuishi, kikubwa usizae watoto wengi mkawatesa na kuteseka nyinyi pia.Sina nna kibarua
Mimi ni nani wa kupinga maandiko ya Mungu ya kuijaza dunia?Inatosha kuishi, kikubwa usizae watoto wengi mkawatesa na kuteseka nyinyi pia.
Yeah sana...inasaidia sanaMimi ni nani wa kupinga maandiko ya Mungu ya kuijaza dunia?
Ila ni kweli family planning kuna namna inasaidia sana kupunguza ukali wa maisha.
Asante kipenzi changuPamoja sana wangu
Kwani ni lazima kuwasaidia? Wasaidie baba na mama yako kama hawana uwezo, upande baba na mama mke jiongeze tu akili kumkichwaWakuu thread tajwa izingatiwe.
Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa.
Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu kuliko uwezo wake. Haishangazi kuona vijana wako maofsini ila maisha wanayoishi ni magumu kuliko hata vijana wanaojitolea.
Ukitaka kudadisi mwenzetu shida nini, unaanza kumsikia kijana akiorodhesha mizigo inayomkausha damu. Utasikia wazee wangu nguvu zimeisha hivyo jukumu la well fare za home nimebebeshwa, na sio wazee tu hadi madogo wote macho kwangu. Zaidi sana hata wazee wa mwenzi wangu macho Yao yapo kwangu. Unavyoniona naishi hivi kifupi ni muujiza kama ambavyo mshara wa 60 wa walinzi Kwa mwezi unawezaje kuwatosha wao na familia zao. Japo tunajinadi uchumi umekua ila ukweli utegemezi bado ni mkubwa sana.
Wakuu mlio Iona Dunia hii Kwa muda mrefu hivi hata maisha ya zamani mwanaume alikua na jukumu la kulea wazazi wa mke ?
Tuishi humoYeah sana...inasaidia sana
basi wasukuma waheshimiwe sana..Kama mmoja tu ananitoa jasho hao watano si ntajiunga na M23