Wakuu nisaidieni, hivi zamani pia jukumu la mwanaume lilikua pia kusaidia familia ya mkewe?

Kama huna huna tu,usijaribu kusaidia watu wakati ndani mwako unaunguwa moto,hayo yote ya nini? Amua moja.
 
Kuna wakati fumba macho komaa na familia yako. Sio wakati wote usaidie. Neno kwa sasa sina halikuondelei utu au heshima
 
Shida mkipata ajira tu mnakimbilia kuoa...
Ati uvivu kufua,kupika na kupata sex muda wowote...mnasahau kuwa kufua hatafua nguo zako tu bali na zake pia,chakula vivyohivyo....
Na mwishowe mnakuja gundua sex hatutoi kilasiku au mtakavyo🥴😔
Hapana shida ni wivu wa kipuuzi kutotaka mke afanye kazi.

Shida ndogondogo huko kwao mke hawezi subiri mume anaclear tu mwenyewe.

Sasa umekimbilia kuoa na umeoa jobless lazima kikulambe.
 
Shida mkipata ajira tu mnakimbilia kuoa...
Ati uvivu kufua,kupika na kupata sex muda wowote...mnasahau kuwa kufua hatafua nguo zako tu bali na zake pia,chakula vivyohivyo....
Na mwishowe mnakuja gundua sex hatutoi kilasiku au mtakavyo🥴😔
Nisioe nikipata kazi?
 
Nimekuelewa na ubepar wenyewe tunaujua Kwa nadharia tu. Kumbe ubepari ni kukaza komwe kama hauoni vile.
..tafsri utakavyo, lakini Dunia ipo kwa style Moja ya life, my family first!!
 
Kwani ni lazima kuwasaidia? Wasaidie baba na mama yako kama hawana uwezo, upande baba na mama mke jiongeze tu akili kumkichwa
 
Kama mmoja tu ananitoa jasho hao watano si ntajiunga na M23
basi wasukuma waheshimiwe sana..
mtu ana wake wanne na kila mwanamke ana watoto saba...

wote wanakula wanashiba, wanapata huduma za afya vizuri na shule wanaenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…