Wakuu nisaidieni katika mawazo

Wakuu nisaidieni katika mawazo

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
 
Swali gumu Ila we Fanya Kazi vizuri ikitokea umepata Allamdullih Ila ukikosa utakuwa umeongeza kitu katika CV yako.
 
Wewe upo firm ya Auditing kama intern? Zamani Ma Auditor walikua wanaogopwa sana
 
Back
Top Bottom