Wakuu, nishaurini kuhusu Shule ya bweni kwa mtoto wa nursery

Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna. Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje? Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Aisee mm nimesoma kwa staili hiyo...tatizo linalokuja tokea baadae sio kwamba tabia hapana unaweza kuwa na tabia njema ,ila ishu inakuja kwenye kitu kinaitwa "BOND".

Hiyo kitu inanisumbua Hadi kesho yaani automatically nikiendaga kumsalimia mwalimu aliyekuwa ananilea na kunifundisha bond kwake nai feel iko strong kuliko kwa mama mzazi.
 
Hadi mtoto anafikisha miaka 12, ndo kipindi bora cha kutengeneza bond na mwanao, usiruhusu mtoto akae mbali na ww katika kipindi hicho
 
Aisee mm nimesoma kwa staili hiyo...tatizo linalokuja tokea baadae sio kwamba tabia hapana unaweza kuwa na tabia njema ,ila ishu inakuja kwenye kitu kinaitwa "BOND".

Hiyo kitu inanisumbua Hadi kesho yaani automatically nikiendaga kumsalimia mwalimu aliyekuwa ananilea na kunifundisha bond kwake nai feel iko strong kuliko kwa mama mzazi.
Aisee mimi nilisoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la tano boarding, tena nje ya nchi wazazi walikuwa wanalipa karo kubwa ila tulikuwa tunapata tabu sana pale shule, tunakula vibaya, hatushibi, yani tulikuwa kama tuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia za watoto, ila ikifika siku ya kuja wazazi tunapewa msosi wa nguvu wazzi hawashtukii mchezo.

Na tukirudi nyumbani hata kujiexpress hatuwezi ila shule zikikaribia kufunguliwa basi wanaona tunanyongonyea tu. Tabu nilizopata pale niliapa mwanangu mdogo hatokuja kusoma boarding nikiwa hai na uwezo. Namshukuru baba yangu siku moja alikuja shule ghafla tena muda wa lunch akatukuta tunapiga msos mbovu sana ndiyo ilikuwa pona yangu.
 
Lipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.
Elimu ipi mnataka kuizungumzia? Furaha ya wazazi now days ni mtoto ajue kimombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlee mtoto mwenyewe ajue malezi ya wazazi,ndani yake mtengenezea maisha hata kama Leo ukiwa haupo ataweza kuishi na kila mtu kwenye jamii inayomzunguka......

Mimi kwa upande wangu huwa naona secondary education kwa watoto boarding ndio bora kuliko hii ya watoto kupewa malezi na watu ambao si familia,ambapo hujui mtoto analelewaje, ratiba zao zikoje kwa mtoto wako kipindi umemuacha.....

Ukitaka kujua uchungu wa mapishi jikoni usisubiri kiive ingia upike ujionee

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kama ambae nimepokea watoto wadogo kuja boarding wakiwa na 3 years nakushauri atleast kama ni ngumu sana kaa nae mpaka afike atleast la tatu. Inawezekana elimu huko ni ngumu ila kaa nae aweze hata kusema shida zake. Akiwa la tatu at least anaweza jisemea anauhitaji wa nini. 3 to 4 years bado ni Mdogo mno.
 
Sijui nikwambiaje ilaaaaa usimpeleke mtoto boarding akiwa mdogo
One of my olevel classmates 10 years ago alijiua kwasababu ya kukata kwenda boarding advanced level due to the fact amesoma boarding from nursery so hakuona Kama wazazi Wanamuona wamuhimu
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Too early mkuu
 
Mkuu inabidi ujiulize kwanza yepi ni nafuu kwake. Kujua kimombo ama kujifunza kupitia wazazi na kufurahia malezi ya wazazi ingali wapo hai.
Mtoto hujifunza vyema kupitia wazazi, sasa huko bweni haendi kujifunza bali anaenda kufundishwa. Mbeleni atarudi na tabia alizojifunza na hutozifurahia.
 
Are you very stupid ?
Are you a fool?
Are you a nincompoop?
Wewe na mkeo mna akili?
Nijibu kistaarabu kwasababu nimeuliza.
 
Unaenda kuharibu mtoto permanently na hutokaa ujue kwa nini ameharibika.Mtoto anahitaji mapenzi pamoja na malezi ya wazazi na siyo malezi ya waja.
Mkuu watu kama hawa wala sio wa kuwajibu ana tu enjoy hmn cha junior wala nn ni limbukeni tu flan kajisikia kutusiwa hapa ts all about nonsense
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Nursery school?
Boarding?
You must be joking!
Unataka mtoto atengenezewe tabia gani?
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Kwa nn usilee mwenyewe, mtoto katika level hyo anapaswa apate malezi ya wazazi
 
Lipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.
La kwanza ni la malezi maana hilo ndilo msingi wa maisha yake na maandalizi ya kuwa mama mwema hapo baadae kabla hata ya elimu za kikoloni unazo amini wewe kwamba zinamsaidia kuyakabili maisha wakati si kweli na ni upotoshaji tunao endelea kulishana na kuaminishana.
 
Back
Top Bottom