kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 289
- 411
Aisee mm nimesoma kwa staili hiyo...tatizo linalokuja tokea baadae sio kwamba tabia hapana unaweza kuwa na tabia njema ,ila ishu inakuja kwenye kitu kinaitwa "BOND".Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna. Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje? Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Aisee mimi nilisoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la tano boarding, tena nje ya nchi wazazi walikuwa wanalipa karo kubwa ila tulikuwa tunapata tabu sana pale shule, tunakula vibaya, hatushibi, yani tulikuwa kama tuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia za watoto, ila ikifika siku ya kuja wazazi tunapewa msosi wa nguvu wazzi hawashtukii mchezo.Aisee mm nimesoma kwa staili hiyo...tatizo linalokuja tokea baadae sio kwamba tabia hapana unaweza kuwa na tabia njema ,ila ishu inakuja kwenye kitu kinaitwa "BOND".
Hiyo kitu inanisumbua Hadi kesho yaani automatically nikiendaga kumsalimia mwalimu aliyekuwa ananilea na kunifundisha bond kwake nai feel iko strong kuliko kwa mama mzazi.
Elimu ipi mnataka kuizungumzia? Furaha ya wazazi now days ni mtoto ajue kimombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.
Serious
Wazazi wa kizazi hiki mna nini?????
Too early mkuuNaimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Mkuu watu kama hawa wala sio wa kuwajibu ana tu enjoy hmn cha junior wala nn ni limbukeni tu flan kajisikia kutusiwa hapa ts all about nonsenseUnaenda kuharibu mtoto permanently na hutokaa ujue kwa nini ameharibika.Mtoto anahitaji mapenzi pamoja na malezi ya wazazi na siyo malezi ya waja.
Nursery school?Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Kwa nn usilee mwenyewe, mtoto katika level hyo anapaswa apate malezi ya wazaziNaimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
La kwanza ni la malezi maana hilo ndilo msingi wa maisha yake na maandalizi ya kuwa mama mwema hapo baadae kabla hata ya elimu za kikoloni unazo amini wewe kwamba zinamsaidia kuyakabili maisha wakati si kweli na ni upotoshaji tunao endelea kulishana na kuaminishana.Lipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.