Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake.

Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
 
Miezi michache baada ya Magufuli kufariki wahusika walikuja kuliondoa lile banda kimya kimya kwa aibu.
 
Mimi nilitamani baada ya kuliondoa lile banda la kujifukiza pale Muhimbili basi lingepelekwa makumbusho ili vizazi vijavyo vije kujifunza upumbavu wa watawala wa kizazi hiki.
 
Mimi nilitamani baada ya kuliondoa lile banda la kujifukiza pale Muhimbili basi lingepelekwa makumbusho ili vizazi vijavyo vije kujifunza upumbavu wa watawala wa kizazi hiki.
Nakazia
 
Back
Top Bottom