Wakuu shida nini Airtel Leo siku ya nane ussd haifanyi kazi inaniletea hivi

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Sijajua shida wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_20250514-183307.jpg
    Screenshot_20250514-183307.jpg
    92.9 KB · Views: 24
Ahahahaha...nikikutanaga na scennario kama hiz huwa nasemaga yeahssss!! Server zangu zikienda down hata kwa 30 minutes wateja wakakwama wakalalamika, moyon nasema "hata Airhel/voda/tigo mbona wana kuaga na circumstances kama hizi? Mimi ni nani niwe perfect ?" 😂😂😂
 
Sijakuelewa
 
Mda mwingine inakuwaga kuchoka tu unawajibu si ata nyie mnaona leo mtandao unavyosumbua
 
Back
Top Bottom