Wakuu shida nini Airtel Leo siku ya nane ussd haifanyi kazi inaniletea hivi

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Sijajua shida wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_20250514-183307.jpg
    92.9 KB · Views: 24
Ahahahaha...nikikutanaga na scennario kama hiz huwa nasemaga yeahssss!! Server zangu zikienda down hata kwa 30 minutes wateja wakakwama wakalalamika, moyon nasema "hata Airhel/voda/tigo mbona wana kuaga na circumstances kama hizi? Mimi ni nani niwe perfect ?" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijakuelewa
 
Mda mwingine inakuwaga kuchoka tu unawajibu si ata nyie mnaona leo mtandao unavyosumbua
 
Hizo shida kwenye application hazipo,hamia huko kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…