Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Mpaka hapa kikwazo ni familia yake, pili ana mdogo wake ambaye ni Mbunge wa CCM, tatu ni Mwanajumuiya so ana viongozi wake wa dini.Wanaendaga hivi hivi ila kwa huyu akipotea
Nchii hii haitokaa itawalike
ok.Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Yaani matukio ya sasa usubiri 2030? Kuna kip special huko 2030 kitakachokuwa tofauti na sasa?Kuna mwili umeonekana fukqe za mbezi beach ambao unafanana kabisa na dr EN.CCM wameiharibu sana nchi yetu.lakini wajue kabisa mwisho wao ni 2030 ambapo nguvu ya umaa itakapoanza kulipa kisasi
Andika tena na usifute.Naandika nafuta, naandika nafuta!
Saa mbona umeandika, tena kwa mimi hii ni best comment ya kufungia mwaka 2026Naandika nafuta, naandika nafuta!
Tatizo ni kundi lilioiteka nyara CcmImagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Sasa kama nchimbi wamemua na wana ccm wakiendelea kucheka si watakuwa machizi siyo ccm tu hata watanzania tutakuwa matahira tuliopitiliza hii itakuwa na maana sasa hii nchi haina haki na hakuna haja yakuwa na vyombo vya dola na hakuna maana yakujiita inchi ya demokarasia kama mtu anachukuliwa na kwenda kuuliwa kama kukuWell , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Uje umalize hii kansa iliyoshamiri hapo Tz.Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Ina maana lidogo lake ni lilafi kiasi kwamba liko tayari ndg yake ayeyuke! Lingejifunza kwa ndg wa polepole.Mpaka hapa kikwazo ni familia yake, pili ana mdogo wake ambaye ni Mbunge wa CCM, tatu ni Mwanajumuiya so ana viongozi wake wa dini.
Hao walitakiwa waongee chochote, sasa wote wapo kumya , ukimywa wao huo maana yake hawataki mambo yawe public hivyo public mmeshanyimwa room ya kujihusisha na chochote kinachomhusu