chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa
Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika. kwasababu anaiamini google na anajua google kilakitu ni uhakika ataamini na kuchukua kama ilivyo.
Pia funzo kwa wale wanaoandika dawa bila kuwa na uhakika kisha watu wanaenda google na kukutana nazo ?