Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

Ingawa umetunga lakini utunzi wako unakaribiana na ukweli kwa sababu siku zote walikuwa wapi kutoa uamuzi huo mpaka kusubiri bado siku moja ndiyo unatoa uamuzi, hii inaonyesha walikurupuka
[emoji2] [emoji2] [emoji23] ww nakujua ni ccm wakina lizaboni hahahaha kumbe jamaa kabugii
 
Ukizingatia ukishachukua tu matumizi yanaanzia uko bank, kwanza unalipa karo ya motto, bill za tanesco, bill za DSTV au kingamzi chochote, hapo hujaanza kupitia John kumlipa deni lake alilokukopesha mwezi uliopita. Ile unafika nyumbani lazima uende na mazagazaga utakayoachia familia ili uende Simiyu, hapo hujapitia Kobo Bar kupata moja baridi na rafiki au kanyumba kako kadogo na kukamegea kidogo kwa matumizi
Sasa niambie utarudisha nini
 
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] ukweli mtupu
 
Mimi ningekuwa mkuu wa wilaya/mkoa/mkurugenzi nisingerudisha hata thumuni
 
waache watambue usomaji namba ulivyo
 
Anayepaswa kukatwa na Magufuli na Katibu mkuu kiongozi hao watu wakubwa hawawezi toka bila maagizo ya serikali kuu, tatizo magufuli nchi imemshinda hawezi kuongoza anaongoza kwa mihemuko na propaganda utawala hovyo kabisa kupata kutokea
 
Anayepaswa kukatwa na Magufuli na Katibu mkuu kiongozi hao watu wakubwa hawawezi toka bila maagizo ya serikali kuu, tatizo magufuli nchi imemshinda hawezi kuongoza anaongoza kwa mihemuko na propaganda utawala hovyo kabisa kupata kutokea

subiri hapo ulipo TCRA wana maongezi na wewe
 

Hili nalo ni janga ...kukuru kaka kila sehemu.
 
ni vyema Moderator Mhariri Paw mkahakikisha mtoa mada ana thibitisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…