Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

Ingawa umetunga lakini utunzi wako unakaribiana na ukweli kwa sababu siku zote walikuwa wapi kutoa uamuzi huo mpaka kusubiri bado siku moja ndiyo unatoa uamuzi, hii inaonyesha walikurupuka
[emoji2] [emoji2] [emoji23] ww nakujua ni ccm wakina lizaboni hahahaha kumbe jamaa kabugii
 
Haya mambo bwana raha yamkute mwenzio yakikukuta ww sijui utasema nini ila ninachokiona mm watanzania wengi wanapenda kuona tunakosa wote ndio maana MTU akitumbuliwa wengine wanafurahi je ungekuwa ww au baba yako ingefurahia? Kweli kila kwenye 4 mmoja kichaa
Ukizingatia ukishachukua tu matumizi yanaanzia uko bank, kwanza unalipa karo ya motto, bill za tanesco, bill za DSTV au kingamzi chochote, hapo hujaanza kupitia John kumlipa deni lake alilokukopesha mwezi uliopita. Ile unafika nyumbani lazima uende na mazagazaga utakayoachia familia ili uende Simiyu, hapo hujapitia Kobo Bar kupata moja baridi na rafiki au kanyumba kako kadogo na kukamegea kidogo kwa matumizi
Sasa niambie utarudisha nini
 
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] ukweli mtupu
 
Mimi ningekuwa mkuu wa wilaya/mkoa/mkurugenzi nisingerudisha hata thumuni
 
Anayepaswa kukatwa na Magufuli na Katibu mkuu kiongozi hao watu wakubwa hawawezi toka bila maagizo ya serikali kuu, tatizo magufuli nchi imemshinda hawezi kuongoza anaongoza kwa mihemuko na propaganda utawala hovyo kabisa kupata kutokea
 
subiri hapo ulipo TCRA wana maongezi na wewe
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.

Hili nalo ni janga ...kukuru kaka kila sehemu.
 
ni vyema Moderator Mhariri Paw mkahakikisha mtoa mada ana thibitisha habari yake.
 
Back
Top Bottom