naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Watakatwa kwenye mishahara yao maana hakuna jinsiKama watapata hilo rejesho sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakatwa kwenye mishahara yao maana hakuna jinsiKama watapata hilo rejesho sijui
[emoji2] [emoji2] [emoji23] ww nakujua ni ccm wakina lizaboni hahahaha kumbe jamaa kabugiiIngawa umetunga lakini utunzi wako unakaribiana na ukweli kwa sababu siku zote walikuwa wapi kutoa uamuzi huo mpaka kusubiri bado siku moja ndiyo unatoa uamuzi, hii inaonyesha walikurupuka
Ukizingatia ukishachukua tu matumizi yanaanzia uko bank, kwanza unalipa karo ya motto, bill za tanesco, bill za DSTV au kingamzi chochote, hapo hujaanza kupitia John kumlipa deni lake alilokukopesha mwezi uliopita. Ile unafika nyumbani lazima uende na mazagazaga utakayoachia familia ili uende Simiyu, hapo hujapitia Kobo Bar kupata moja baridi na rafiki au kanyumba kako kadogo na kukamegea kidogo kwa matumiziHaya mambo bwana raha yamkute mwenzio yakikukuta ww sijui utasema nini ila ninachokiona mm watanzania wengi wanapenda kuona tunakosa wote ndio maana MTU akitumbuliwa wengine wanafurahi je ungekuwa ww au baba yako ingefurahia? Kweli kila kwenye 4 mmoja kichaa
Kweli kabisa, hao ndo walitanguliza pesa mbele na siyo kazi.Hao wote wanaolalamika WATUMBULIWE mara moja.
umejuajeChanzo chako cha habari siyo sahihi.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] ukweli mtupuUkizingatia ukishachukua tu matumizi yanaanzia uko bank, kwanza unalipa karo ya motto, bill za tanesco, bill za DSTV au kingamzi chochote, hapo hujaanza kupitia John kumlipa deni lake alilokukopesha mwezi uliopita. Ile unafika nyumbani lazima uende na mazagazaga utakayoachia familia ili uende Simiyu, hapo hujapitia Kobo Bar kupata moja baridi na rafiki au kanyumba kako kadogo na kukamegea kidogo kwa matumizi
Sasa niambie utarudisha nini
WATAKATWA TU KWENYE SALARY HAZINA KAZI NDOGO MNO HIYOKama watapata hilo rejesho sijui
WATAKATWA TU KWENYE SALARY HAZINA KAZI NDOGO MNO HIYO
Mimi ningekuwa mkuu wa wilaya/mkoa/mkurugenzi nisingerudisha hata thumuni
Kwa huu ni udaku kabisa.
Mmekazania source tu tafuten wenyeweNani, lini, wapi, na chanzo cha hbari (source) ni maswali muhimu unapoleta taarifa, vinginevyo taarifa yako inakuwa udaku.
Hatushindwiiiii!!!!!!! unatumbuliwa kwa kukataa agizo la Mh RaisMimi ningekuwa mkuu wa wilaya/mkoa/mkurugenzi nisingerudisha hata thumuni
Anayepaswa kukatwa na Magufuli na Katibu mkuu kiongozi hao watu wakubwa hawawezi toka bila maagizo ya serikali kuu, tatizo magufuli nchi imemshinda hawezi kuongoza anaongoza kwa mihemuko na propaganda utawala hovyo kabisa kupata kutokea
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
ni vyema Moderator Mhariri Paw mkahakikisha mtoa mada ana thibitisha habari yake.Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
ww si unalala lumumba ila halmashauri hapa waccm.wenzako wanalalamika