Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

Mnamchekea sana ndo mana anathubutu kuwadhalilisha kila kukicha ifike mahali mjitambue enyi watumishi..hakuna serikali bila watu na watu ndio nyinyi!
 
Lakini makada wote wanaoteuliwa kuwa wakurugenzi ni MBWA wa magufuli hawana uwezo wa kimdindia.
 
Kama hataki matumizi mabaya si aufutilie mbali mwenge maana unatukera sana
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Walalamike ama wasilalamike. Agizo limetolewa na rais.Ni lazima Warudishe pesa hizo maswali baadaye.
 
Majungu sio mtaji useme ufanye ufanikiwe ! Kama unaona ajira ni kazi ngumu jaribu kuikosa..! Waambie nduguzo waache kazi.
 
Ivi mpaka wanawalipa nikwamba hawakujua kuna ubanaji wamatumizi? ila kufanyia siasa maswala yamsingi nimakosa sana.
 
View attachment 417384
14731101_1126789917398489_7962891783112262996_n.jpg
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
ungetaja hao wanaolalamika uone mtumbuaji kama asingefanya kazi yake,ila kulalamika lalamika tu kwa awamu hii haina msaada sana
 
Wewe ni wa mkoa gani muheshimiwa?naomba mumuelewe mkuu,hataki matumizi mabaya ya fedha,ukweli ni kwamba swala kama ni kuzima mwenge pekee tuache wazime wa Simiyu huko huko.ila maagizo ya ninyi kwenda huko na kuchukua pesa za safari ni nani aliyatoa?
Naungana na wewe mkuu, ila kuna ishu moja, raisi ilitakiwa atoe agizo hilo kabla ya watu kuanza kulipwa posho hizo. In actual sense, siku mbili kabla ya tukio ni muda mfupi sana
 
Cha muhimu waorodheshe majina yao na sign wapeleke malalamiko yao kwa big boss, kwani hadi leo hawajui mkuu wao anataka nn basi hawamfai.

Kazi ni yule mwenye kutoa order za Vitenge kiwandani akijua waheshimiwa wenzake watam support. Atabaki na marobota yake ya vitenge
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Kwanini wanatulalamikia sisi? Waambie wamuandikie barua ya malalamiko JPM na wamhoji kwanini wazirejeshe pesa za Sirikali eti kwasababu wameshazitumia kabla hawajaenda Bariadi. (Utetezi wa kijinga kabisa huu)
 
Si wajiengue tu.....wasisubiri kuondolewa
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.

Wataje kwa majina.
 
Back
Top Bottom