Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walalamike ama wasilalamike. Agizo limetolewa na rais.Ni lazima Warudishe pesa hizo maswali baadaye.Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
source ni nkanga chef mwenyewe😀Lete source
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23]source ni nkanga chef mwenyewe😀
ungetaja hao wanaolalamika uone mtumbuaji kama asingefanya kazi yake,ila kulalamika lalamika tu kwa awamu hii haina msaada sanaKufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Naungana na wewe mkuu, ila kuna ishu moja, raisi ilitakiwa atoe agizo hilo kabla ya watu kuanza kulipwa posho hizo. In actual sense, siku mbili kabla ya tukio ni muda mfupi sanaWewe ni wa mkoa gani muheshimiwa?naomba mumuelewe mkuu,hataki matumizi mabaya ya fedha,ukweli ni kwamba swala kama ni kuzima mwenge pekee tuache wazime wa Simiyu huko huko.ila maagizo ya ninyi kwenda huko na kuchukua pesa za safari ni nani aliyatoa?
Kwanini wanatulalamikia sisi? Waambie wamuandikie barua ya malalamiko JPM na wamhoji kwanini wazirejeshe pesa za Sirikali eti kwasababu wameshazitumia kabla hawajaenda Bariadi. (Utetezi wa kijinga kabisa huu)Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.