Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganyeni mkutane na marungu ya kunyimwa mbolea[emoji3]Usione kimya nasi wakulima tunaratibu jamboletu kwa ajili ya LISU antipas kitaifa
Huwa wanapewa kila mwezi hii posho?Posho ya 250K imewalevya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
Ndio japokwa kuchelewa ,sasa mwezi wa 12 wanapewa za mwezi wa10🤣🤣🤣🤣🪑Huwa wanapewa kila mwezi hii posho?
Nchi yetu ujinga mwingi Sana. Yaani Jamaa wamepiga pesa za shule na hakuna wa kuwafuatilia wanaona ili tuendelee kuzipiga tumpiganie yuleyule dhaifu . Wajinga wakubwa Hawa. Vichwa kama kapu la mama.Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.
Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?
Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?
Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?
Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?
Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Wanapewa mkuu, wa sekondari na waratibu elimu kata 250,000/= wakuu wa shule za msingi 200,000/= nadhani na maafisa watendaji kata kila mwezi inaingia kwenye mifuko yao kutoka hazinaHuwa wanapewa kila mwezi hii posho?
Zinakuwa hata hazinogi kabisa.Ndio japokwa kuchelewa ,sasa mwezi wa 12 wanapewa za mwezi wa10[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
Sio mbaya, ila inatakiwa waamke wadai maslahi yaoWanapewa mkuu, wa sekondari na waratibu elimu kata 250,000/= wakuu wa shule za msingi 200,000/= nadhani na maafisa watendaji kata kila mwezi inaingia kwenye mifuko yao kutoka hazina
Ina maana hata walimu wako ni wapumbavu kweliHawa wapumbavu ndiyo maana wanalipwa mishahara kidogo sababu ya kukosa akili
Watawachangia na nyie machadema Wala msiwaze 😁😁Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.
Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?
Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?
Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?
Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?
Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Ndiyo maanake, ndiyo maana walikuwa wanatufundisha Mwenemutapa Empire ambayo hainisaidii chochote kwenye maisha yanguIna maana hata walimu wako ni wapumbavu kweli
Ni laana tupu, 98% walimu hawana akiliUalimu siyo laana ila baadhi ya waalimu kama hawa ni mikosi!
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.