Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48
Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa
DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂
Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini, wafanyakazi wa umma kama madaktari n.k wote walikuwa wahanga wa kuwekwa ndani
Nakumbuka kuna padri aliwekwa ndani kisa aliandika kitabu kuhusu changamoto za vijana wa Tanzania
Kuna askofu pia alishindwa kuvumilia hadi akamvaa Magufuli Ikulu kuhusu DC kumtia ndani mchungaji wa kanisa lake
Viongozi wa upinzani ndio walikuwa wakuu wa kadhia hii
Ama kweli Tanzania tumetoka mbali, Mungu Fundi
17/03/2023 Happy Liberation Day..