Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Mi mwenyewe najiona ni mwenye kubarikiwa sana kwa sababu sijateuliwa na sitegemei, hasa kipindi hiki ambapo kuna vitu vingi vibaya ambavyo wananchi wanalalamika. Hivi jiulize una akili yako timamu unaanzaje eti kulazimisha watu wachanje wakati korona tulivuka, yaani ukae kabisa mbele za watu unahamasisha kama kiongozi, au uanze kutetea tozo au kupanda bei mafuta useme ni vita ya Ukraine wakati mafuta juzi hapa bei imeshuka ila hapa bongo inazidi kuongezeka, yaani ukae uanze kusema mradi wa bwana la umeme utachelewa kwa sababu kibao. Kwa ufupi ni heri ambaye siyo kiongozi ktk hii awamu maana kufanya kazi na hii awamu ni siyo tu kuchafua CV bali ni kujiharibia utu maana unakuwa miongoni mwa wanaoumiza watanzania kwa maamuzi ya ovyo kama tozo etc.
 
Hivi hapa temeke wanapaogopa au wachawi wengi mbona mkurugenz wa hapa na watumishi wengne ni wahovyo sana watu kwenye sensa hawajalipwa laki 2 zao mpka leo
 
ankal nimependa majibu yako ingawa yana dhharau na kashfa ndani yake

Lile jambo lako subiri tumalize chaguzi za ndani za chama
Mkuu shida ya Mayalla ndio hiyo kujua kwingi...hivi Mayalla na Makongoro Nyerere Nani mzee?


Pia huo utangazaji anajitutumua kuwa katumikia hauna hela ,,hakuna mtangazaji anayeweza kupokea take home 1m per month..Sasa si afadhali mwalimu wa huku Namanyere ....

Pia Mayalla anatatizo la kuwa na undimi mbili...hana ubavu wa kukataa UDC hataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…