MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #61
Tutajuaje kuwa ni Msomi na sasa Wakili?Ungeandika Kiswahili ingefaa zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajuaje kuwa ni Msomi na sasa Wakili?Ungeandika Kiswahili ingefaa zaidi.
Muda alishaupoteza mwenyewe! Utapataje digrii ukiwa na miaka 60 alafu ulaumu wengine wanapokupotezea muda? 😀😀😀anataka aitwe mbunge wa bunge la afrika mashariki, uDC na uRC ni kumpotezea muda
Mi mwenyewe najiona ni mwenye kubarikiwa sana kwa sababu sijateuliwa na sitegemei, hasa kipindi hiki ambapo kuna vitu vingi vibaya ambavyo wananchi wanalalamika. Hivi jiulize una akili yako timamu unaanzaje eti kulazimisha watu wachanje wakati korona tulivuka, yaani ukae kabisa mbele za watu unahamasisha kama kiongozi, au uanze kutetea tozo au kupanda bei mafuta useme ni vita ya Ukraine wakati mafuta juzi hapa bei imeshuka ila hapa bongo inazidi kuongezeka, yaani ukae uanze kusema mradi wa bwana la umeme utachelewa kwa sababu kibao. Kwa ufupi ni heri ambaye siyo kiongozi ktk hii awamu maana kufanya kazi na hii awamu ni siyo tu kuchafua CV bali ni kujiharibia utu maana unakuwa miongoni mwa wanaoumiza watanzania kwa maamuzi ya ovyo kama tozo etc.Mkuu Papa, the Shark , kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Mkuu shida ya Mayalla ndio hiyo kujua kwingi...hivi Mayalla na Makongoro Nyerere Nani mzee?ankal nimependa majibu yako ingawa yana dhharau na kashfa ndani yake
Lile jambo lako subiri tumalize chaguzi za ndani za chama