Wala bata wa JF

Nahunga mkono hoja mwanaume kama unywi pombe itabidi ....ngoja niishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jaribu yafuatayo

A. Potezea kampani yako (Marafiki) wenye mrengo wa bata. Hapa namaanisha acha kbisa kushinda nao hat ikiwezekana acha kuwasiliana nao.

B. Kama hufanyi mazoezi tafuta gym na ulipie kifurushi cha mwezi ili ikifika jioni ukitoka mishe uende huko.

C. Kama demu ako anakunywa nae piga chini. Kama unaona unaangamia kwenye pombe na una mwanamke anakuenfluence ya nini kuwa nae? Utakufa au firisika yeye atasonga na maisha.

D. Kama unasali basi weka mkazo huko pia.

E. Ona kuwa na pesa ni kitu cha kawaida. Moja ya vitu vinavyotufanya tufanye anasa ni pale tunapopata pesa alafu tunaona nyingi. Watazame walio na pesa zaidi yako alafu jua kwa nini hawafanyi anasa. Nasema anasa kwa sababu kuwasha gari kuja kunywa biere dar yenye ladha ilieile hicho ni kiburi cha pesa [emoji3][emoji3]

Ni hayo tu kama upo serious. Achana na kurogana haya mambo ni habitual
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16]safii sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wenyewe inaonekana umeandika umelewa,unataka acha pombe halafu hobby yako iwe nini kwa mfano? Kata maji dogo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiliwa jicho kwa ulevi ndio nitakushauri uache pombe ila kwa sasa enjoy yourself!
Piga kilevi uondoe ujinga!
 
Mbona unajiliza liza hovyo mkuu, hiyo pombe umeanza kujifunza kunywa lini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…