Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee vingi na watanashati wengi hawa ndiyo matapeli wakubwa, nikutakie kazi njema na nikuase juu ya kazi kwenda polepole mno hili ndilo labda tatizo jipya, tunaomba kasi izidishwe ili wengi zaidi wahudumiwe kwa uharaka zaidi.
ALAMSIKI.
ALAMSIKI.