Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Ukikata 1kg nyagi zinaeleaaa tu
Pombe zinashuka ni Sawa na kumwagia maji kwenye godoro babake....

Ova
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Over
 
We jamaa hakikisha unapita sinza kwa remi upande wa pili hapa ulizia wap kitimoto choma wanauza kg 18000 nenda weka oda nakuapia hautarud kwenye kijiwe chako
Syo mebbs hpo Wana kitimoto balaa

Ova
 
Jana nimekula pale sabasaba aisee Jamaa hajui kabisaa kupikaaa...tumbo limeniuma sanaa! Jamaa falaa sana namuhamaaa kabisa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]vipi ulinunua sh ngapi kwa kg?
 
Nani aliyekuambia wasiokula kitimoto ni Mashekhe na Maustadhi. Mbona makundi mengine umeyaacha
 
Ila huu uzi unakimbia kwa kasi sana hii itoshe kukuonesha walaji tupo nyomi.
 
Nani aliyekuambia wasiokula kitimoto ni Mashekhe na Maustadhi. Mbona makundi mengine umeyaacha
Hao wasabato sina noma nao kabla ya kuwa huko walikula sana walivyokuwa watoto hivyo wanajua Utamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…